• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Elika Nasson Nguvila

Posted on: March 25th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Machi 24,2025 ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa Elika Nasson Nguvila ambaye ni Dada wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt Toba Nguvila katika kanisa la KKKT Bombambili Ukonga Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila akiongea wakati wa kuaga mwili wa Elika Nguvila amesema kifo ni mpango wa mwenyezi Mungu " Ukisoma vitabu mbalimbali viko vinavyoeleza miaka ya mwadamu kuishi ni 70 na vingine vinasema miaka 120 katika kipindi chote cha uhai wa binadamu tukumbuke kutendeana mema dunia ni mzunguko na watu ni walewale".Alisema Chalamila

Aidha RC Chalamila ameahidi kuchangisha shilingi milioni 7 kwa ajili ya  kuendeleza ujenzi wa ushirika huo ambapo yeye binafsi ameahidi kutoa milioni 2 vilevile ametolea ufafanuzi changamoto mbalimbali zinazowakabili wakazi eneo hilo ikiwemo barabara ambapo amesema Serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan itazimaliza changamoto hiyo kwa sasa tayari wakandarasi wameshalipwa kuanza ujenzi wa barabara ya Kivule kwenda msongola na barabara zingine zitafuata awamu ijayo.

Naye Katibu wa CCM  Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Elias Mpanda ametoa pole kwa wafiwa kufuatia msiba huo ambapo amesema anaungana na Mkuu wa Mkoa kuchangia milioni moja papo hapo kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa na kuhusu changamoto za barabara amewahakikishia Serikali itazifanyia kazi kama alivyosema Mkuu wa Mkoa.

Mwisho mwili wa marehemu Elika unasafirishwa leo kuelekea Makete Mkoa wa Njombe kwa ajili ya Maziko

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa yakagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Temeke

    May 07, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Mei-Mosi Dar es Salaam.

    May 01, 2025
  • Dkt Hussein Ally Mwinyi Aweka Jiwe la Msingi Barabara ya Kiibada, Mwasonga-Kimbiji

    April 25, 2025
  • RC Chalamila Dar ni Salama Aeleza Mafaniko na Mipango ya Maendeleo ya Mkoa

    April 18, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa