• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa DSM

Posted on: July 25th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25, 2023 ameongoza mamia ya wakazi wa Mkoa huo kuadhimisha siku ya mashujaa katika viwanja vya mashujaa Mnazimmoja Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila ameshiriki itifaki mbalimbali kuashiria maadhimisho hayo pia amewataka wananchi kuendelea kufanya matendo ya kizalendo na kishujaa kama walivyofanya wazee wetu ambao walipelekea ukombozi wa bara Afrika.

Aidha RC Chalamila amesema amani tunayoiona sasa haikupatika kwa urahisi Wazee wetu walijitoa kwa hali na mali kulikomboa taifa hili, ndio hao ambao leo tuna wakumbuka kama mashujaa wa Taifa letu.

Vilevile Mhe Albert Chalamila amemshukuru Rais wa awamu ya kwanza Hayati Mwl JK Nyerere kwa kuongoza harakati za kulikomboa taifa na Viongozi wengine waliofuatia lakini pia ametoa rai kwa jamii kuendelea kumuombea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambapo amekuwa akiliongoza Taifa hili vizuri, wananchi wanatekeleza majukumu yao ya kujiletea maendeleo kwa amani na kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa Ujumla.

Kwa Upande wa Katibu wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Ndg Adam Ngalawa ameitaka jamii kutumia kumbukizi hizi kuhamasishana uzalendo na kufanya matendo ya kishujaa kwa masilahi mapana ya Taifa letu.

Ifahamike kuwa maadhimisho hayo Dar es Salaam yameadhimishwa katika ngazi ya Mkoa kitaifa yameadhimishwa Dodoma na Kuhudhuriwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa