• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aongoza Kikao cha Bodi ya Barabara na Kamati ya Ushauri ya Mkoa

Posted on: July 24th, 2024

 

-Atoa maelekezo mahususi juu ya ufanisi na utekekelezaja wa miradi ya barabara katika Mkoa.

-Ataka kuwa na ubunifu wa matumizi ya ‘Road Reserve’ na maeneo ya wazi

-Asema Dar es Salaam ni salama sana vitendo vichache vya kiharifu vimeendelea kudhibitiwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 24,2024 ameongoza kikao cha bodi ya barabara na Kamati ya ushauri ya Mkoa kilichofanyika katika ukumbi wa Arnatoglo Mnazi mmoja -Ilala.

RC Chalamila akiongoza kikao hicho alipata wasaa wa kusikia michango na ushauri kutoka kwa wajumbe wa kikao hicho ambao ni waheshimiwa wabunge na wataalam wengine ambao walihudhuria kikao na baadaye Mhe Mkuu wa Mkoa aliwahakikishia wajumbe kulipatia suluhu tatizo la ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi ya barabara hususani ile ambayo tayari ilishatangazwa kutekelezwa, kwa hatua ya awali amemtaka Katibu Tawala wa Mkoa Dkt Toba Nguvila kuratibu timu ya watu wachache kwa ajili ya kwenda kumuona waziri mwenye dhamana.

Aidha RC Chalamila ameagiza kuendelea kutoa elimu na kuhamasisha watu kuacha kujenga kwenye mabonde,na kuendelea kulinda kingo za mito kwa kupanda miti kandokando ya mito ambapo ameshauri ipandwe miti ya michikichi ambayo inapatikana Kigoma,hivyo katibu Tawala wa Mkoa alifanyie kazi jambo hilo

Vilevile RC Chalamila ameagiza kuwapanga vizuri wafanyabiashara wadogo na maeneo ya ‘Road Reserve’ pamoja na ya wazi kuwe na ubunifu wa matumizi yenye tija na maslahi mapana kwa umma,pia wale ambao majengo yao yanaangalia barabarani washirikishwe kuweka perving na kupanda miti ya kuvutia ambayo italeta taswira nzuri ya Mkoa, hata hivyo kwenye suala la ubora na uwekaji wa viraka barabarani ameagiza kutekelezwa kwa wakati hususani zile sehemu zilizoharibiwa na mvua za El-Nino.

Sanjari na hilo RC Chalamila amesema kwa upande wa ulinzi na usalama Mkoa uko shwari sana vitendo vichache vya kiharifu vimeendelea kudhibitiwa ambapo ametoa rai kwa kila mtu kuelimisha jamii kufuatia uzushi unaosambazwa katika mitandao ya kijami kuhusu kutekwa na ukatili dhidi ya watoto ni vizuri kutoa elimu ili kuondoa taharuki kwa jamii “suala la usalama ni jukumu letu sote tuendelee kushikamana” Alisema Chalamila.

Mwisho kikao hicho kilihudhuriwa na Kamati ya Usalama ya Mkoa, Viongozi wa chama Mkoa, TARURA, TANROAD, makatibu Tawala wa Wilaya kwa niaba ya wakuu wa Wilaya, Mameya, Katibu Tawala wa Mkoa Dkt Toba Nguvila na wataalamu wengine kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa