• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aongoza Baraza la Biashara Mkoa

Posted on: April 5th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 05,2024 ameongoza baraza la biashara Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam.

Akiongea na waandishi wa Habari RC Chalamila amesema baraza hilo pamoja na mambo mengine limejadili uendelevu wa biashara za wazawa, sera za wawekezaji wa nje na wa ndani ya nchi ambapo katika eneo hilo malalamiko makubwa yamekuwa wageni kutoka mataifa ya nje kujihusisha na biashara za kichuhuzi katika eneo la karikoo ambazo zingeweza kufanywa na wazawa hivyo Serikali ya Mkoa inalifahamu hilo na  kinachotarajiwa kufanyika ni msako wa kawaida na kutoa elimu kuhusiana na jambo hilo.

Vilevile baraza limejadili mfumo mzima wa biashara na mazingira yake, katika eneo hilo mjadala ulikuwa juu ya kufanya biashara saa 24 kwa kuwa tayari vyombo vya usafiri hususani mabasi ya mikoani yameshaanza kufanya kazi saa 24 hivyo iko haja ya biashara zingine katika mkoa kufanyika saa 24 ili kukuza uchumi wa nchi na Mkoa.

Ambapo RC Chalamila amesema ili kufanya kazi saa 24 lazima kuwepo na ulinzi madhubuti, taa, pamoja na taasisi za fedha, hivyo mara Soko la karikoo likifunguliwa biashara katika eneo hilo zitafanyika saa 24 na maeneo mengine yatajifunza kutoka karikoo.

Aidha RC Chalamila amesema vilevile baraza limejadili uchumi wa blue ambao unajikita katika uvuvi, usafirishaji, utalii, uzalishaji wa umeme, viwanda vinavyotumia malighafi za majini pamoja na mfumo mzima wa ajira.

Sambamba na hilo baraza limekubaliana kuweka nguvu sasa katika maeneo hayo ili kukuza uchumi wa Mkoa na Tanzania kwa ujumla pia baraza limejadili faida za mkoa ulipo na mataifa mengine kwa maana ya Bandari hivyo ni vizuri kuwa na mikakati ya kutumia vizuri fursa zilizoko kwa masilahi mapana ya Taifa na Mkoa.

Mwisho RC Chalamila amelihakikishia baraza kuendelea kuboresha mazingira ya kufanyia biashara, kuondoa urasimu kwa wakezaji kutoa ushirikiano wakati wote kwa sekta binafsi ili kwenda sambamba na maono ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa