• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Amtaka Mkandarasi barabara ya Ubungo - Kimara Kuongeza Kasi

Posted on: April 10th, 2025

 

-Akagua miradi lukuki jimbo la Ubungo na kufanya Mkutano wa hadhara viwanja vya TP-Sinza.

Mkuu wa Mkoa wa Dar ea salaam Mhe Albert Chalamila amemtaka mkandarasi anaefanya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia eneo la ubungo mataa hadi kimara kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ili kupunguza adha ya msongamano wa magari kwa wananchi

RC Chalamila ameyasema hayo leo April 10,2025 jijini Dar es salaam ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake Wilaya ya Ubungo ambapo  ametembelea miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye jimbo la Ubungo. akiwa kwenye mradi huo wa upanuzi wa barabara eneo la kimara amesema mradi huo ni kiungo muhimu kwenye ukuaji wa uchumi hivyo ni muhimu ukamilile kwa wakati.

Aidha RC Chalamila ametumia nafasi hiyo kuwahakikishia wananchi kuhusu ujio wa magari ya mwendokasi ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wananchi ambapo amesema Serikali imeshaandaa mpango wa kupata magari ya kutosha lakini pia kuwa na mtoa huduma zaidi ya mmoja badala ya kutegemea UDART pekee jambo ambalo litasaidia kuboresha huduma hiyo.

Kwa upande wa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Lazaro Twange ameeleza lengo la serikali kuamua kutanua barabara ili kupunguza msongamano wa magari huku Mhandisi wa TANROAD Mkoa wa Dar es salaam Beatrice Rweyemamu wakati akitoa taarifa ya mradi huo ameeleza namna changamoto ya misongamano inavyoathiri wananchi endapo mradi huo utachelewa kumalizika kwa wakati.

Hata hivyo Mkandarasi anaejenga barabara hiyo amesema miongoni mwa changamoto za ujenzi wa barabara hiyo ni kuwa bize kutumika kwa masaa mengi wawapo kazini lakini wanakwenda kuongeza kasi kwa kufanya kazi saa 24

Katika ziara hiyo RC Chalamila ametembelea mradi wa *Shule ya msingi msewe, kituo cha afya  Makurumla na ujenzi wa barabara ya kimara ubungo* na baadae kufanya mkutano wa hadhara na wananchi kwenye viwanja vya TP sinza

Akiwa kwenye Mkutano wa hadhara RC Chalamila amesikikiliza kero za wananchi na kuzitolea majawabu papo hapo, ikiwemo kero ya uvamizi wa maeneo ya wazi, Maji taka, na changamoto za huduma za Afya kwa Wazee. ambapo ametoa rai kwa wakazi wa DSM  kufanya kazi kwa bidii  "Adui namba moja wa maendeleo ni kichwa chako mwenyewe tufanye kazi tuko kwenye Ardhi yenye baraka" Alisisitiza RC Chalamila

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa yakagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Temeke

    May 07, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Mei-Mosi Dar es Salaam.

    May 01, 2025
  • Dkt Hussein Ally Mwinyi Aweka Jiwe la Msingi Barabara ya Kiibada, Mwasonga-Kimbiji

    April 25, 2025
  • RC Chalamila Dar ni Salama Aeleza Mafaniko na Mipango ya Maendeleo ya Mkoa

    April 18, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa