• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Amshukuru Rais Samia Utekezeji wa Miradi - Temeke

Posted on: August 28th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametoa shukrani hizo leo Agosti 28, 2023 katika ziara yake ya kutembelea na kukagua mradi wa Barabara Nzasa-Kilungule, Ujenzi wa Hospitali ya Ghorofa sita (6) na Ujenzi wa Soko la kisasa Mbagala Zakhiem.

RC Chalamila amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha muda mfupi ameendelea kutoa pesa nyingi kwa ajili ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali ambapo hata miradi mikubwa iliyoachwa na mtangulizi wake Hayati Dkt John Pombe Magufuli hakuna mradi uliosimama.

Aidha RC Chalamila akiwa katika mradi wa Barabara ya Nzasa- Kilungule amesema mradi huo umetekelezwa katika Kipindi cha miaka miwili ya Dkt Samia lengo likiwa kukuza fursa za kiuchumi kwa wananchi, vilevile Mhe Rais ametoa fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Ghorofa 6 na Soko la kisasa akiwa na dhamira ya kutoa huduma bora za afya kwa jamii na kuboresha mazingira ya wafanyabishara hususani wa eneo hili

Hata hivyo RC Chalamila amekemea vitendo vya uvunjifu wa amani kwani amani ikitoweka hakuna pahala pa kukimbilia, pia amekemea tamaduni za kimagharibi zinazoharibu jamii zetu kama vitendo vya Ushoga

Vilevile RC Chalamila ametoa rai kwa wanasiasa kushindana kwa hoja na sio kutumia lugha zisizo na staa, kwa upande wa katiba mpya ameitaka jamii kuwa makini katika mchakato huo kwa kuwa katiba nzuri ni ile yenye masilahi mapana kwa Umma na sio vyama vya Siasa

Mwisho RC Chalamila amezindua Soko la kisasa Mbagala Zakhiem na kuutaka uongozi wa Manispaa ya Temeke kusitisha zoezi la wafanyabishara kuanza kufanya biashara katika Soko hilo ili kujiridhisha watu waliopata vibanda katika Soko hilo tayari timu imeundwa ndani ya wiki moja kuanzia leo timu ifanye kazi kama kuna watu walikula pesa za watu kwa ahadi ya kuwapatia nafasi katika Soko hilo wazirudishe

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa