• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akutana na Watoa Huduma Binafsi za Afya DSM

Posted on: October 17th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Oktoba 17,2023 amekutana na watoa huduma binafsi za Afya kwenye Mkutano wa pamoja uliofanyika katika Ukumbi wa Maktaba mpya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

RC Chalamila amewapongeza watoa huduma binafsi za Afya katika Mkoa kwa namna wanavyoshirikiana na Serikali kuwahudumia wananchi hususani katika Mkoa huo ambao ni lango kuu kwa ajili ya watu mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi kufuatia Shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii.

Aidha RC Chalamila amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa sera nzuri ambazo leo zimetuwezesha kuwa hapa na uwekezaji  mkubwa aliofanya na anaendelea kufanya katika sekta ya Afya, ikiwemo uboreshaji wa miundombinu ya Afya, Vifaa tiba, na hata kuwaendeleza kielimu wataalam hadi kufikia taaluma za kibingwa

Vilevile Mkuu wa Mkoa alipata wasaa wa kusikiliza kero na Changamoto mbalimbali ambazo zinaikabili sekta hiyo katika utekelezaji wa majukumu yake ambapo ameahidi kuzifanyia kazi zile zilizoko katika uwezo wake na zile kubwa atawasilisha katika  mamlaka husika kwa Utekelezaji.

Kwa upande wa Mwenyekiti wa APHFTA ( Association of Private Health Facilities in Tanzania) kanda ya Dar es Salaam Dkt Lazaro Wambura amemshukuru mkuu wa Mkoa kwa kuona umuhimu wa kukutana na kundi hilo wamefarijika sana na amewasilisha Changamoto zao kama watoa huduma binafsi za Afya katika Mkoa ikiwemo kutozwa tozo nyingi, na mfuko wa bima kulipa kwa kusuasua.

Mwisho RC Chalamila licha ya kufungua Mkutano huo amewataka washiriki wote kwenda kuelimisha jamii juu ya uwezekano wa kunyesha mvua kubwa za El-Nino kama ilivyotabiliwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), hivyo wananchi wachukue taadhari


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa