• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akutana na Wafanyabiashara Soko la Mchikichini

Posted on: July 17th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2023 amekutana na wafanyabishara wadogo katika Soko la Mchikichini Ilala Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila akizungumza na wafanyabishara hao amepokea Changamoto ya choo na kumtaka Mkurugenzi wa Jiji kulipatia ufumbuzi suala hilo mara moja.

Aidha ametoa onyo kali kwa wafanyabishara wasio waaminifu ambao huunguza masoko kwa sababu zao binafsi amelipongeza jeshi la polisi kwa kushirikiana na ulinzi shirikishi  kubaini mtu aliyetaka kuchoma moto soko hilo huku akiwataka wafanyabishara hao kuwa walinzi namba moja.

Lakini pia RC Chalamila amesema amekuja Kujitambulisha kwa wafanyabishara hao na kuwasisitiza kuwa biashara ndio msingi wa maisha yao, "amekemea watu wanaoleta chokochoko na kuhatarisha amani, Dar es Salaam sio mahali pake" alisema RC Chalamila

Hata hivyo wafanyabishara hao walionyesha kutamani kuendelea kutoa changamoto zao kwa Mhe Mkuu wa Mkoa ndipo akawaahidi kurudi tena katika soko hilo kusikiliza kero na kuzipatia ufumbuzi.

Kwa Upande wa kamanda wa kanda maalum Muliro Jumanne Muliro  amesema jeshi la polisi limeimarisha mifumo ya kiitelijensia ya kubaini watu waovu hivyo wafanyabishara waendelea kufanya biashara ili kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa Ujumla lengo la jeshi hilo ni kuweka mazingira wezeshi ya kufanya biashara saa 24

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa