• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akutana na Wadu wa Usafirishaji DSM

Posted on: October 18th, 2023

Leo Oktoba 18, 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amekutana na wadau wa usafirishaji katika mkutano maalum uliofanyika katika ukumbi wa mikutano Arnatoglo Mnazimmoja Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila amewashuru wadau hao kwa kazi nzurii wanazoendelea kufanya vilevile amemshukuru Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji katika sekta ya usafirishaji na namna anvyoifungua sekta hiyo kwa sasa usafiri upo masaa 24.

Aidha RC Chalamila amesema wadau wa usafirishaji ni kundi muhimu hakuna anayeweza kubeza ukweli huo, na uwekezaji wowote unaofanywa lazima uwe na tija lakini popote wanapokutana na Changamoto njia ya mazungumzo iwe kipaumbele na sio migomo.

Mhe Albert Chalamila alipata wasaa wa kusikiliza maoni na Changamoto zinazoikabili sekta hiyo ambapo kwa sehemu kubwa inatokana na kupanda kwa gharama za mafuta ambapo walio wengi katika mawasilisho yao wameiomba Serikali kupandisha nauli ili waweze kupata faida angalao kuliko ilivyo Sasa

Hata hivyo RC Chalamila ameitaka mamlaka husika LATRA kukaa pamoja na kujadili kwa kina Changamoto hiyo na kuipatia majawabu lakini ni vizuri maamuzi yatakayo fanyika yazingatie pia hali halisi ya uchumi wa wananchi.

Kwa upande wa Baraza la LATRA wamesema Changamoto zinazoikumba sekta ya usafirishaji ni kwa sababu ya kutumia nishati ya mafuta pekee ni wakati muafaka wa kuangalia fursa zingine ikiwemo kuanza kutumia nishati mmbadala ikiwemo gesi katika vyombo vya usafiri kwa kuwa utaalam huo kwa sasa upo hapa nchini.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa