• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akutana na Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Posted on: September 15th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 15, 2023 amekutana na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Dkt Jabiri Bakari alipozuru Ofisi za mamlaka hiyo eneo la Mawasiliano Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kufahamiana lakini pia kwa sababu ya umuhimu wa mamlaka hiyo ambayo ni Mamlaka dhibiti ya Mawasiliano hapa nchini.

RC Chalamila amesema Mamlaka hiyo ina mchango mkubwa katika mambo kadhaa na ndio maana Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amefanya uwekezaji mkubwa sana katika Teknolojia ya Kisasa, Rasilimali watu na vifaa vya kisasa ili kuwezesha mamlaka hiyo kukabiliana na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia yanayoikabikabili Dunia

Aidha Mhe Chalamila amesema Teknolojia inavyokua ina Changamoto zake na ndio maana unaweza usione bunduki mahali popote lakini kutoka na kukua kwa Teknolojia bado nchi ikaingia katika machafuko hivyo mamlaka hii ni muhimu katika Kuimarisha Usalama wa nchi.

Kwa kutambua umuhimu huo Ofisi yake pamoja na Kamati ya usalama ya Mkoa imepanga kufanya ziara katika mamlaka ya ya Mawasiliano kwa lengo la kujifunza ili kukabiliana na athari za madiliko ya makuzi makubwa ya Teknolojia.

Kwa upande wa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt Jabiri Bakari amesema mamlaka imejipanga vizuri kukabiliana na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia bila kuathiri makuzi ya kiuchumi katika Taifa

Matangazo

  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 15-19 DESMBA 2025 DSM December 15, 2025
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 1-5 DESEMBA 2025 December 01, 2025
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ashiriki Ibada ya Sikukuu ya Christmas Usharika wa KKKT Kimara Korogwe

    December 25, 2025
  • Ziara ya Naibu Waziri OWM-TAMISEMI MHE Reuben Kwagilwa Dar

    December 22, 2025
  • RC Chalamila Vyombo vya Habari ni Muhimili Muhimu kwa Taifa

    December 05, 2025
  • RC Chalamila Azindua Wodi ya Watoto Wachanga Hospitali ya Amana

    December 03, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa