Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 14, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ustawi wa Jamii, Baraza la Wawakilishi Seriklai ya Mapinduzi ya Zanzibar Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Pamoja na mambo mengine wamejadili maswala mbalimbali yanayohusu Ustawi wa jamii Tanzania Bara na Zanzibar, baadaye Kamati hiyo imefanya ziara Makao ya Watoto Kurasini Jijini Dar es Salaam
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa