• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akagua Ujenzi wa Barabara ya Mwendo kasi Nyerere Road KM 23.3

Posted on: September 15th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 15, 2023 amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya magari yaendayo kasi Nyerere Road ambayo inatoka mjini hadi Gongo la Mboto yenye urefu wa kilometa 23.3.

RC Chalamila amesema Barabara hiyo ni muhimu kwa uchumi wa nchi yetu, vilevile ni ya  Kidiplomasia na ni Barabara inayoelekea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl JK Nyerere. " Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anataka kuona Barabara hiyo inaisha mapema tena hata kabla ya muda uliowekwa kwa mujibu wa mkataba ili kufungua fursa za kiuchumi kwa wananchi" Alisema RC Chalamila

Aidha Mhe Albert Chalamila amemtaka mkandarasi Sino Hydro kuongeza kasi ya ujenzi huo ili uweze kukamilika kwa wakati pia  amemtaka kuzingatia misingi ya mahusiano mazuri na wawekezaji walioko kando ya barabara hiyo kwa kuhakikisha kunakuwa na njia za kuweza kuingia kwenye miradi yao

Mhe RC Chalamila amebainisha Mhe Rais amekuwa akifanya maboresho makubwa ya miundo mbinu katika Mkoa wa Dar es Salaam ambapo dhamira yake ni kuona maboresho ya miundo mbinu yanafungua fursa ya watu kufanya biashara saa 24 na sio saa 12 kama ilivyo sasa ukizingatia Dar es Salaam ni jiji la kibiashara.

Kwa upande wa Mhandisi Frenk Mwingira ambaye ndiye msimamizi wa mradi huo amemhakikishia Mkuu wa Mkoa kukamilisha kwa wakati Ujenzi wa Barabara hiyo licha ya kuwa mkandarasi yuko nyuma kidogo kutokana na Changamoto mbalimbali lakini maendeleo ya Ujenzi wa Barabara hiyo yanakwenda vizuri

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa