• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akabidhiwa Ofisi Rasmi Dar es Salaam.

Posted on: May 18th, 2023

 

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam CPA Amos Makalla amekabidhi Ofisi rasmi kwa Mhe Albert Chalamila kufuatia mabadiliko yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ya uhamisho wa vituo vya kazi kwa wakuu wa Mikoa hivi karibuni ambapo Mhe Amos Makalla amehamishiwa Mkoa wa Mwanza.

Akiongea wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Anatoglo Mnazimmoja na kuhudhuriwa na Kamati ya ulinzi na Usalama, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, makatibu Tawala wa Wilaya, Wakuu wa Taasisi za Umma na Sekretarieti ya Mkoa

CPA Makalla amesema anamshukuru Rais Dkt Samia kwa kuendelea kumuamini amemhakikishia kwenda kumwakilisha vizuri katika Mkoa wa Mwanza, Vilevile amesema yako mengi mazuri aliyoyafanya katika Mkoa wa DSM ikiwemo Kuwapanga vizuri wamachinga, ulinzi na Usalama, utatuzi wa migogoro ya Ardhi na usimamizi wa usafi mambo ambayo ni vizuri yakaendelezwa.

Kwa upande wa Mhe Albert Chalamila amesema anamshukuru Mhe Rais Dkt Samia kwa imani yake kwake na kuahidi kutomuangusha huku akisema uongozi ni kujifunza kila siku hivyo anaamini katika mabadiliko makubwa ya kimaendeleo kwa masilahi mapana ya wana Dar es Salaam na Watanzania kwa ujumla

Ifahamike kuwa Mhe Albert Chalamila Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa alihamishwa akitokea Mkoa wa Kagera akihudumu kwa nafasi hiyo ya ukuu wa Mkoa huo

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa