• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akabidhi Gari 2 kwa Wakuu wa Wilaya ya Kinondoni na Temeke

Posted on: September 30th, 2024

Katika kuimarisha huduma kwa wananchi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amekabidhi magari mawili aina ya Prado TX kwa wakuu wa wilaya za Kinondoni na Temeke ili kuwawezesha kuwafikia wananchi na kuwahudumia kwa urahisi.

Akizungumza leo Septemba 30,2024 Jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa Mhe Albert Chalamila amesema lengo la magari  yaliyotolewa na Rais ni kusaidia wakuu wa Wilaya kufanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo na kuimarisha huduma kwa wananchi hata nyakati za usiku hivyo amewataka kuyatumia kwa malengo yaliyokusudiwa

Aidha RC Chalamila amesema kuwa magari hayo pia yatasaidia kipindi cha uchaguzi wa Serikali ya Mitaa kwa mwaka huu pamoja na uchaguzi mkuu mwakani kwa kuwawezesha viongozi hao kufika kwenye maeneo mbalimbali.

Kwa upande wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt Toba Nguvila wakati akitoa taarifa kuhusu magari hayo amesema Serikali ilitenga fedha za kununulia magari yatakayotumiwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ili kuimarisha huduma

Naye Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Saad Mtambule na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sixtus Mapunda wameshukuru kwa kupata magari hayo na kuahidi kuwa yatakwenda kufanya kazi husika ya kuwafikia wananchi na kutatua migogoro mbalimbali

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa