• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akabidhi Fedha kwa Wanawake Wajasiriamli 50 Ilala

Posted on: July 12th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amekabidhi kiasi cha pesa taslimu laki 2 kwa wanawake wajasiriamali 50 wa Kata ya Kivukoni Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa ufadhiri wa LALJI Foundation chini ya Mhe Diwani wa Kata hiyo Mhe Sharik Shoughule makabidhiano ambayo yamefanyika leo Julai 12 katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa Posta Ilala Jijini Dar es Salaam

Mhe Albert Chalamila akikabidhi pesa hizo amewataka wanawake hao kutumia pesa hizo kama mtaji utakao wafanya kusonga mbele kuhakikisha wanakua na nidhamu, kujituma na kuwa wabunifu, pia matumizi ya pesa hizo yakatengeneze furaha katika kukuza mitaji yao na sio vinginevyo.

Aidha RC Chalamila amesema mwanamke akiwezeshwa vizuri, umewezesha ustawi wa familia ambapo matokeo yake kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa Ujumla.

Hata hivyo Mhe Rais Dkt Samia alishaona umuhimu wa kumwezesha wajasiriamali wanawake kiuchumi kupitia mikopo ya 10% ( 4-4-2) ambapo asilimia 4% ilienda katika kundi la wanawake hivyo hatuna budi kuendelea kumushukuru Mhe Rais.

Vilevile Diwani wa Kata hiyo Mhe Sharik Shoughule amesema leo ameanza na wanawake wajasiriamali 50 kuwapatia kiasi hicho kwa ajili ya kukuza mitaji yao bado ataendelea kufanya kikubwa zaidi kwa kuwa kundi hilo ni muhimu na lina mchango mkubwa katika ustawi wa jamii

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa yakagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Temeke

    May 07, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Mei-Mosi Dar es Salaam.

    May 01, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa