• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aibua Tumaini Jipya kwa Watumiaji wa Mwendokasi

Posted on: October 1st, 2025

 

-Asema hakuna Serikali inayopenda wananchi wake wapate shida

-Asisitiza Serikali  hii ni sikivu adha za usafiri wa mwendokasi iko kwenye hatua za mwisho kumalizwa.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila ametembelea kituo cha mabasi ya mwendokasi cha kimara na kuwahakikishia wananchi kuwa ndani ya wiki hii mabasi ya mwendokasi yataongezwa kwenye njia hiyo ili kupunguza adha ya usafiri na kwamba serikali tayari imeshaingia makubaliano na kampuni binafsi

Ziara hiyo ya RC Chalamila aliyoifanya alfajiri ya leo Octoba mosi ni kufuatia serikali mkoani humo kubaini  adha kubwa wanayoipata wananchi wanaotumia usafiri huo wa mwendokasi hususani wanaotokea maeneo ya mbezi na kimara kuelekea katikati ya jiji

Akizungumza wakati wa ziara hiyo RC Chalamila amesema kabla ya kumalizika wiki hii serikali imekusudia kuleta mabasi machache wakati wakitafuta suluhisho la kudumu pia amesema zaidi ya mabasi 200 yameshapakiwa kuja Dar es salaam kutoa huduma hiyo kupitia mkandarasi mpya

Aidha kutokana na ombi la wananchi waliojitokeza wakati wa ziara hiyo kutaka mabasi ya kawaida kuruhusiwa kupeleka wananchi katikati ya jiji kupitia njia ya mwendokasi ama njia ya kawaida isiokuwa ya mwendolasi RC Chalamila amewaahidi wananchi hao kuwa anafanyiakazi kwa haraka mpango wa mabasi ya kawaida yaongezeke lakini si kwa kutumia njia ya mwendokasi kwa kuwa mfumo wake hauruhusu kutumia mabasi ya kawaida

Kwa upande wao baadhi ya wananchi waliojitokeza wameiomba Serikali kusaidia kumaliza adha hiyo kwa kuleta mabasi ya kutosha lakini pia kwa kuruhusu mabasi ya kawaidi kuongezwa ili kurahisisha  wananchi kufikishwa katikati ya jiji

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 July 17, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA WA DARASA LA SABA MEI, 2025 July 18, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWANAFUNZI ALIYEADHIBIWA-MAKUMBUSHO SEKONDARI September 23, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWANAFUNZI ALIYEADHIBIWA-MAKUMBUSHO SEKONDARI September 23, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Aibua Tumaini Jipya kwa Watumiaji wa Mwendokasi

    October 01, 2025
  • RC Chalamila Marufuku Mabaunsa Kutumika Kutoa Watu Meneo Yenye Migogoro DSM.

    September 24, 2025
  • RAS - DSM Sports Club yapata ushindi wa pili katika Mchezo wa Draft

    September 22, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mawili kwa Wakuu wa Wilaya ya Ubungo,Kigamboni na Gari moja kwa Golikipa wa Taifa Stars

    September 22, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa