• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Ahitimisha Ziara ya Siku 3 Segerea Wilaya ya Ilala

Posted on: May 30th, 2024

 

-Amshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa katika nyanja mbalimbali ndani ya  Wilaya hiyo

-Mamia ya Wananchi wafurika viwanja vya Kimanga kutoa kero zao

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Mei 30, 2024 amehitimisha ziara yake ya siku tatu ya kutembelea, kukagua miradi ya maendeleo na kupata fursa ya kuongea na wananchi kupitia mikutano ya hadhara

Katika ziara yake ndani ya majimbo matatu ya Wilaya ya Ilala leo amehitimisha ziara katika Jimbo la Segerea ambapo amekagua mradi wa Kiwanda cha Metro Steel Kiwalani, Ujenzi wa Ghorofa shule ya Sekondari Minazi mirefu, Kituo cha Afya Kinyerezi, barabara ya Tabata bima pamoja na mkutano wa hadhara katika uwanja Kimanga.

RC Chalamila akiwa katika kiwanda cha Metro Steel kinachozalisha nondo amemuhakikishia mwekezaji kuwa Serikali itaendelea kuboresha mazingira kwa wawekezaji ili kuvutia uwekezaji kwa masilahi mapana ya makuzi ya uchumi wa Taifa

Aidha RC Chalamila akiwa katika shule ya Sekondari Minazi mirefu amesema katika Mkoa huo ujenzi wa madarasa sasa utakuwa wa Ghorofa Ili kutumia vizuri Ardhi kwa kuwa haiongezeki.

Vilevile Mhe Mkuu wa Mkoa amepongeza ujenzi wa Kituo cha Afya Kinyerezi ambacho kwa sehemu kubwa kimekuwa msaada mkubwa kwa wakazi hao.

Sanjari na hilo RC Chalamila amesikiliza kero za wakazi wa jimbo la Segerea ikiwemo kero ya barabara, elimu, masoko, na  Ardhi na kuzitolea ufafanuzi hapohapo

Kwa upande wa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Edward Mpogolo amemuomba Mkuu wa Mkoa Mhe Albert Chalamila kupeleka shukrani za dhati kwa Mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa upendeleo mkubwa katika uwekezaji wa nyanja mbalimbali ikiwemo elimu, Afya, na miundombinu, pia ameahidi kutekeleza kwa wakati maagizo na maelekezo yake

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa