• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Ahairisha Ziara yake, Kuomboleza Kifo cha Lowassa

Posted on: February 12th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Februari 12, 2024 ametoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari Ofisini kwake kuhusu  kuhairisha ziara yake ya kukagua na kusikiliza kero za wananchi katika Wilaya zote za Mkoa huo ambayo ilipangwa ianze kufanyika leo Februari 12, 2024 Wilaya ya Temeke ili kuungana na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, familia na Watanzania wote kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Edward Ngoyai Lowassa

Akiongea na waandishi wa Habari RC Chalamila amesema kwa kuwa msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Edward Ngoyai Lowassa upo DSM hivyo Mkoa umejipanga vizuri katika nyanja zote ikiwemo Usalama na uratibu wa wageni mbalimbali kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu ambaye ndiye mratibu mkuu wa msiba huo.

Aidha RC Chalamila amesema siku ya kesho Februari 13, mwili wa marehem Edward Lowassa utaagwa katika viwanja vya karimjee Ilala ambapo ametoa rai kwa wakazi wa Mkoa huo na Watanzania kwa ujumla kutumia siku hiyo kuja kwa wingi kumuaga mpendwa wetu, kiongozi wetu, Mzee wetu marehem Edward Lowassa.

Vilevile Februari 14, 2024 mwili utapelekwa katika kanisa la Azania Front kwa ajili ya Ibada, na Februari 15, 2024 mwili wa marehem utasafirishwa kuelekea nyumbani Monduli- Arusha ambapo maziko yanatarajiwa kufanyika Februari 17, 2024 ambayo yataongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sambamba na hilo RC Chalamila ametangaza tarehe ya kuanza ziara yake ambapo amesema ziara hiyo itaanza rasmi Februari 19, 2024 Wilaya ya Temeke Jimbo la Mbagala tarehe 20/02/2024 Jimbo la Temeke, Wilaya ya Kinondoni tarehe 21/02/2024 Jimbo Kawe tarehe 22/02/2024 Jimbo la Kinondoni, Wilaya ya Ubungo tarehe 23/02/2024 Jimbo la Ubungo tarehe 24/02/2024 Jimbo la Kibamba, Wilaya ya Kigamboni tarehe 26-27/02/2024 na Wilaya ya Ilala tarehe 28/02/2024 Jimbo la Ilala, tarehe 29/02/2024 Jimbo la Ukongo na kuhitimisha tarehe 01/02/2024 katika Jimbo la Segerea

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa