• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Agusa Sanaa ya Uigizaji Atoa Milioni 15

Posted on: November 4th, 2024

 

-Asema pesa hiyo inakwenda kuanzisha mfuko maalumu wa wasanii wa sanaa ya uigizaji kama namna ya kumuenzi Marehemu Grace Mapunda (TESSA)

-Aitaka jamii kutumia pesa wanazopata kuleta nuru na faraja kwa watu.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Novemba 4, 2024 ameongoza mamia ya wakazi wa mkoa huo wakiwemo makundi mbalimbali ya wasanii kuaga mwili wa Grace Mapunda maarufu kwa jina la TESSA wa HUBA katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni.

RC Chalamila akitoa salamu za Mkoa amesema kuwa anatambua juhudi kubwa zinazofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu  Hassani katika tasnia ya sanaa hapa nchini ambapo uwekezaji mkubwa ameufanya kwa kuanzisha mfuko wa wasanii kwa ujumla wake.

Hivyo kwa kuunga mkono juhudi hizo RC Chalamila ametoa milioni 15 kwa ajili ya kuanzisha mfuko wa wasanii wa sanaa za uigizaji ambapo wadau wengi wamefurahishwa na hatua hiyo na kuahidi kuendelea kuchangia mfuko huo akiwemo Steve Nyerere, Haji Manara pamoja na Shafii Dauda.

Aidha RC Chalamila ametoa rai kwa jamii kutumia pesa wanazopata kuleta nuru na faraja kwa watu, kurejesha umoja na amani pia kuokoa maisha ya watu.

Mwisho Mhe Mkuu wa Mkoa amewataka wasanii kuendelea kuyaenzi maisha ya Grace Mapunda na kumtaka kiongozi wa wasanii ndani ya wiki mbili kuanzia leo wakutane ofisini kwake kufanya mazungumzo kwa maslahi mapana ya tasnia hiyo

Matangazo

  • MWENENDO WA BEI YA 02-06 FEBRUARI 2026 DSM February 10, 2026
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 1-5 DESEMBA 2025 December 01, 2025
  • MWENENDO WA BEI YA WIKI YA 26-30 JANUARI 2026 DSM February 09, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalimila Aendelea Kuchanja Mbuga Wilaya ya Kinondoni

    February 12, 2026
  • RC Chalamila Achukizwa na Kasi ndogo ya Utekelezaji wa Miradi ya BRT Kinondoni

    February 11, 2026
  • Uzinduzi wa Soko Jipya la Kariakoo

    February 08, 2026
  • RC Chalamila Ataka Walimu Kutafsiri Vema Maono ya Rais Samia

    February 06, 2026
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa