• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC CHALAMILA AFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA WENYEVITI WA SERIKLI ZA MITAA

Posted on: December 16th, 2024

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amemwakilisha Waziri wa TAMISEMI  kuzindua mafunzo kwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa Novemba 27 mwaka huu na kuwataka kufanya kazi yao kwa uadilifu ili kuhakikisha wanakuwa  kiungo bora kati ya Serikali na wananchi kwa kuwatumikia ipasavyo wananchi na kukomesha migogoro ya ardhi katika maeneo yao

Akizungumza leo Disemba 16, 2024 Jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI Mkuu wa Mkoa Mhe Albert Chalamila amewataka viongozi wa serikali za mitaa kushirikiana na viongozi wa Dini kuendelea kuhamasisha amani ya Nchi na kusimamia vyema R nne za Rais Dkt Samia ili kuwa na jamii bora

RC Chalamila amewataka viongozi wa serikali za Mitaa kutambua kuwa madaraka waliyonayo ni ya wananchi waliowachagua hivyo wanapaswa kuwatumikia vizuri kwa kutatua changamoto zao hususani huduma muhimu za kijamii sanjari na ulinzi na usalama kwenye mitaa

Aidha amewataka kushirikiana vyema na watendaji wa Mitaa na kuwa wabunifu bila kuathiri mnyororo wa fedha za serikali huku akisisitiza kuepuka kuwaingiza wananchi kwenye migogoro ya ardhi

Kwa upande wake Katibu tawala wq mkoa wa Dar es salaam Dkt Toba Nguvila amesema mafunzo hayo yatakua ya siku mbili kwa wenyeviti wa wilaya zote pia yatafanyika kwenye kila Wilaya ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchu kwa ufanisi mkubwa.  

Mwisho RC Chalamila ameagiza taasisi mbalimbali zilizoko katika Mkoa huo kuandaa mafunzo kwa wenyeviti wa Mitaa ili kuwawezesha kuwa na uelewa wa majukumu ya taasisi hizo na iwe rahisi kutoa ushirikiano " Taasisi ya kwanza ambayo nimeshaielekeza TRA na taasisi zingine zifuate kama DAWASA na TANROAD

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa yakagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Temeke

    May 07, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Mei-Mosi Dar es Salaam.

    May 01, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa