• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Afungua Mkutano wa Siku 2 Kwa Maafisa Ustawi wa Jamii-DSM

Posted on: August 6th, 2024

 

-Azindua vyombo vya Habari vya huduma za Ustawi wa Jamii.

-Asisitiza utoaji wa elimu kwa jamii juu ya maswala ya Ukatili wa kijinsia na kukemea vitendo hivyo.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila Leo Agosti 6 2024 amefungua mkutano wa Maafisa Ustawi wa Jamii Mkoa katika Ukumbi wa Karimjee-Posta jijini Dar es Salaam ambao unatarajiwa kuhitimishwa Agosti 7 2024.

RC Chalamila akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano huo amesema, ni hatua kubwa  zilizofanywa na sekta hii ya Ustawi wa Jamii  kwakuwa dunia ya sasa mambo mengi yanayoendelea huonekana sana mtandaoni hivyo, vyombo hivi vya habari vitakuwa ni chanzo cha kufikisha taarifa na elimu kuhusu ustawi wa jamii kwa wakati husika.

Aidha, Mheshimiwa  Mkuu wa Mkoa amezindua channel maalum ya mtandaoni ya ustawi wa jamii iitwayo "Ustawi wa Jamii Dsm Digital" na kukabidhi vifaa vya kuchakata habari ikiwemo computer mpakato(laptop), camera na vifaa vingine vitakavyotumiwa na vitengo vya ustawi wa jamii katika halmashauri za Manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam.

Sanjari na hilo,RC Chalamila aliwataka Maafisa Ustawi wa Jamii kufanya kazi kwa bidii na weledi mkubwa ili kuhakikisha huduma bora zinawafikia wananchi wote.Alisisitiza kuwa serikali itaendelea kutoa ushirikiano na rasilimali muhimu kwa maafisa hao ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Vilevile mkutano huu umetoa fursa ya kipekee kwa Maafisa Ustawi wa Jamii kubadilishana uzoefu, kujifunza na kuunda mtandao wa ushirikiano ambao utasaidia katika kuboresha huduma za kijamii nchini pamoja na kukemea vikali vitendo vya  ukatili wa kijinsia na taharuki za utekaji zisizo za kweli zinazoendelea kwenye jamii.

Mwisho RC Chalamila alikabidhiwa tuzo ya kutambua mchango wake katika ustawi wa jamii na kupata fursa ya kutoa tuzo kwa Katibu Tawala wa Mkoa Dkt. Toba Nguvila, Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt Mohammed Mang'una na viongozi wengine waliotangulia kwa kutambua mchango wao katika sekta hiyo.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa