• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Afungua Mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi DSM

Posted on: August 29th, 2024

 


-Awataka viongozi na watendaji wa Mkoa huo kutumia mafunzo hayo kuleta ufanisi wa kazi zao za kila siku.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka viongozi na watendaji Mkoani humo kutumia mafunzo ya uongozi ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi za kila siku ikiwemo kutumia fedha za Serikali vizuri katika utekelezaji wa miradi mikubwa yenye tija kwa wananchi na kuchagiza maendeleo Nchini.

RC Chalamila ameyasema hayo leo Agosti 29, 2024  Kibaha, Mkoani Pwani wakati akifungua mafunzo ya siku tatu ya uongozi kwa viongozi na watendaji wa Mkoa wa Dar es salaam yanayofanyika kwenye Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere ambapo amesema mafunzo hayo ni muhimu katika kuimarisha utendaji na kuimarisha mahusiano kati ya viongozi, watendaji na wananchi

Aidha RC Chalamila amesema kupitia mafunzo hayo wanatarajia kuleta tija kubwa mojawapo kuongeza ufanisi wa kazi ambao utapelekea kuongeza mapato ya Mkoa lakini pia ,kutafsiri maono ya Mhe Rais kwenye kubuni miradi ya maendeleo pamoja na kuongeza fursa za uwekezaji jijini humo

Nao baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo ikiwemo Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Dar es salaam, Mameya,Wakurugenzi Wakuu wa idara na Vitengo wamesema mafunzo hayo yataleta tija katika kuongeza uhusiano kati ya viongozi na wananchi pamoja na kuimarisha miradi ya maendeleo

Hata hivyo Katibu tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt Toba Nguvila ameeleza matarajio ya Serikali kwa viongozi hao baada ya kumalizika mafunzo hayo ikiwemo ukuaji wa uchumi na kuimarika kwa mahusiano kazini

Mwisho Mkoa wa Dar es salaam umeanzisha utaratibu wa kuwajengea uwezo viongozi na watendaji ikiwa ni kuongeza tija kwenye ushirikishwaji wa makundi yote muhimu kwenye shughuli za maendeleo

 





Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa