• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Afungua Kongamano la 39 la Afya ya Kinywa na Meno

Posted on: December 11th, 2024

 

-Amshukuru Rais Dkt Samia kwa uwekezaji mkubwa katika sekta ya Afya hapa Nchini.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila kwa niaba ya waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh Mohamaed Mchengerwa, leo Disemba 11,2024 amefungua kongamano la 39 la kisayansi la Kitaifa pamoja na Mkutano wa mwaka wa chama cha wataalam wa Afya ya Kinywa na Meno katika ukumbi wa PSSSF Millenium Towers-Kinondoni.

RC Chalamila amemshukuru Rais Dkt Samia kwa uwekezaji mkubwa uliofanyika katika awamu ya sita, hususani huduma za Afya ya Kinywa na Meno nchini hasa katika ngazi ya msingi, viti vya kutolea huduma za afya ya kinywa na meno (Dental chairs)  340, mashine za kidigitali za mionzi kwa huduma ya kinywa na meno (Periapical Dental X-rays) 306, mashine za mionzi za 2D-OPG zipatazo 57 na 3D-CBCT zipatazo 18 vyote kwa pamoja vimenunuliwa kwa gharama ya TZS 17,056,560,000 na watumishi 720 wameajiriwa kwa lengo la kuimarisha utoaji wa huduma za afya ya Kinywa na Meno nchini.

Aidha RC Chalamila ameipongeza Wizara ya Afya kwa kusimamia Mikoa na Halmashauri na kuhakikisha wanatenga fedha za kununua vifaa na Vifaa Tiba vya Afya ya Kinywa na Meno hivyo kuwapunguzia wananchi adha ya kusafiri kwenda Hospitali za rufaa za Mikoa, Kanda na Taifa kufuata huduma hizo. Haya yote yamefanyika ili kuimarisha na kufikisha huduma bora za afya ya kinywa na meno kwa Wananchi wa Tanzania katika maeneo yote Nchini.

Vilevile Mkuu wa Mkoa amesema tunapoelekea mwishoni mwa Mwaka 2024 ni vyema tukatambua kwamba kipaumbele Cha Serikali ya Awamu ya Sita ya Jamhuri ya Muungano Tanzania, pamoja na mambo mengine ni Mpango wa Bima ya Afya kwa wote yaani “Universal Health Insuarance”. Nichukue fursa hii kuwahakikishia kwamba, Kama nchi, tumejipanga kikamilifu kuhakikisha wananchi wote wanapata huduma bora za afya popote walipo na kwa wakati.

“Sote tunafahamu kwamba sheria ya utekelezaji wa mpango huu imeshasainiwa,  hivyo basi, serikali inawategemea sana kama wadau muhimu katika kufanikisha dhamira yake hii ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma bora ya afya pasipo vikwazo vyovyote ninawasihi sana, kwa pamoja kama chama, na kila mmoja katika nafasi yake, tushiriki kikamilifu kuhakikisha mpango huu unaleta matokeo chanya kwa ustawi wa Taifa letu, kwani Afya ya wananchi ni mtaji mkubwa” Alisema RC Chalamila. 

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa