• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Afanya Ziara Shirika la DDC

Posted on: January 4th, 2024

 -Ataka kulijua Shirika hilo na namna linavyoendeshwa

- Ajione miradi iliyopo katika Shirika hilo na kusisitiza dhana ya "PPP" katika uendeshwaji wake

-Aeleza uwepo wa utayari wa ubomoaji jengo la DDC Kariakoo

- Awaonya watakaothubutu kuharibu miradi yote hiyo

- Kwa upande wake Meneja Mkuu wa Shirika la DDC Bw.Ally Mirambo aahidi kutekeleza yote aliyoagizwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo Januari 03, 2024 amefanya ziara katika Shirika la DDC ili kulifahamu zaidi sambamba na kuona namna gani shirika hilo linavyoendeshwa ambapo alieleza kutokuridhishwa kwake na namna shirika hilo lisivyofuata protokali katika utendaji wake wa kazi na kulitaka kufuata Sheria na taratibu zilizowekwa ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza

RC Chalamila amejionea miradi  iliyopo katika Shirika hilo ikiwemo Maduka, Ukumbi wa Mikutano, Bar, Vyoo vya kukodi, Public garage, Eneo la Magomeni, na Mlimani City ambapo ameelezwa namna Maeneo hayo yanavyotumika na kusema kuwa lazima iwepo "Public Private Partnership" katika uendeshwaji wa miradi hiyo ili kuleta tija kubwa zaidi kwa Shirika hilo

Aidha, Mkuu wa Mkoa ameeleza kuwa wananchi wanapaswa kuwa tayari kufuatia ubomoaji wa jengo la DDC Kariakoo ili lijengwe jengo litakaloleta tija zaidi ambapo alisisitiza uwepo wa ramani yenye win win situation na kukazia suala la kutanguliza falsafa ya Uzalendo kwanza

Mhe. Chalamila amewaonya wale wote watakaothubutu kuharibu miradi hiyo hatua Kali za kisheria dhidi yao zitachukuliwa sambamba na kusisitiza uwekaji Mzuri wa vitu vyote ikiwemo pesa

Kwa upande wake Meneja Mkuu wa Shirika la DDC Bw.Ally Mirambo amekili kupokea maelekezo yote yaliyotolewa na RC Chalamila na kuahidi kuyafanyia kazi

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa