• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Afanya Ziara Jimbo la Kibamba

Posted on: February 23rd, 2024

 

- Akagua miradi, asikiliza Kero na kuzitatua papo hapo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila Februari 23,2024 amefanya ziara katika Wilaya ya Ubungo jimbo la Kibamba ambapo alikagua miradi ya Barabara Kibamba- Mpigi magohe, kuweka jiwe la msingi Shule ya msingi Mpakani, na kufanya Mkutano wa Hadhara katika eneo la stop Over kimara.

RC Chalamila akiwa katika mradi wa Barabara ya TANROAD kibamba ameridhishwa na utekelezaji wa mradi huo na kumtaka mkandarasi kuendelea kufanya kazi kwa weledi pia mradi ukamilike kwa wakati vilevile amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya barabara ambayo inatumia fedha nyingi

Aidha RC Chalamila pia aliweka Jiwe la Msingi Shule ya msingi Goba Mpakani ambapo aliwataka wanafunzi kusoma kwa bidii kwa kuwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu ameboresha na anendelea kuboresha miundombinu ya elimu na mazingira mazuri ya kujifunzia na kufindishia.

RC Chalamila akiwa katika msafara wake alikuwa akisimama mara kwa mara pale anapokutana na Wananchi wengi na kuwaeleza adhima ya Serikali katika kuziondoa Changamoto zianazo wakabili wakazi wa kibamba ikiwemo maji, umeme, urasimishaji na barabara ambapo amewahakikishia Serikali ni sikivu, kero zao zote zitaisha.

Vile vile RC Chalamila amesema Serikali inatambua Changamoto za usafiri wa Mwendokasi na hatua za kumaliza Changamoto hizo zimeanza kuchuliwa.

Sambamba na hilo RC Chalamila alifanya mkutano wa hadhara eneo la stop over kimara ambapo wananchi walipatiwa fursa ya kuuliza maswali ya Kero zao na kujibiwa papo hapo.

Mwisho RC Chalamila anatarajia kuendelea na ziara Jimbo la Ubungo Februari 26,2024 kukagua miradi, na kusikiliza kero za wananchi.


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa yakagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Temeke

    May 07, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Mei-Mosi Dar es Salaam.

    May 01, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa