• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Afanya Ziara Jimbo la Ilala

Posted on: May 29th, 2024

 

-Akagua miradi ya maendeleo na kufanya mkutano wa hadhara Ilala kota.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Mei 29,2024 amefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi wa Jimbo la Ilala ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Ilala.

RC Chalamila akiwa katika Jimbo la Ilala amekagua ujenzi wa barabara ya Mindu, mradi wa uwekaji perving na uzibuaaji wa mitaro IT na Plaza Ohio, pia ametembelea Shule ya Sekondari Benjamin na kukagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa mpira na maktaba, barabara ya Lindi pamoja na kituo cha Afya cha mchikichini

Mhe Mkuu wa Mkoa amepongeza Halmashauri ya jiji kwa mpango wao wa Kupendezesha Jiji hilo kwa kuweka perving ambapo amewataka kufanya operesheni ya kukagua watu wenye dhamira mbaya ambao huelekeza mifumo ya maji taka katika mifumo ya maji safi " kama kuna mtu ana hoteli au Balozi na zinaelekeza maji taka uelekeo ambao sio sahihi kuacha mara moja na wanaofanya biashara maeneo ya watembea kwa miguu tena yana pervinga kuacha mara moja" Alisema RC Chalamila.

Aidha RC Chalamila Chalamila ameonyesha kutokuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la maktaba, uwanja wa mpira na kituo cha afya mchikichini ambapo amewataka wakandarasi kukamilisha ujenzi wa miradi hiyo mapema iwezekanavyo pia thamani ya pesa ionekane. " Siwezi kumvumilia mkandarasi anayeharibu kazi katika Mkoa huo" Alisisitiza RC Chalamila

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Wananchi Dar Kunufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

    June 14, 2025
  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa