• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RAS MPYA DSM AKABIDHIWA OFISI RASMI

Posted on: July 29th, 2020

KATIBU TAWALA MPYA WA MKOA WA DAR ES SALAAM  AKABIDHIWA OFISI RASMI.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam  Mhe Abubakar Kunenge amemkabidhi rasmi ofisi Katibu Tawala mpya wa Mkoa huo Bwana Paulo Mshimo Makanza ambaye anachukua nafasi hiyo kufuatia uteuzi uliofanyika hivi karibuni na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli.

Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndg Paulo Mashimo Makanza aliyeketi kulia na Mkuu wa Mkoa Mhe Abubakar Kunenge katika picha ya pamoja na wakuu wa Idara wakati wa makabidhiano ya ofisi .


Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Ilala Boma na kuhudhuriwa na wakuu wa Idara wa ofisi hiyo ya Mkuu wa Mkoa.

Wakati wa makabidhiano hayo, aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Abubakar Kunenge ambaye kwa sasa ndiye Mkuu wa Mkoa huo amemhakikishia Katibu Tawala mpya kuwa watendaji katika ngazi ya Mkoa na Halmashauri za Manispaa zote za Jiji la Dar es Salaam ni wachapa kazi, kwa kipindi chote akiwa katika nafasi hiyo wamemuonyesha ushirikiano wa kutosha katika utendaji kazi.

Lakini pia yako mafaniko makubwa ambayo Mkoa umepata katika nyanja anuai,kama vile Miundombinu,Elimu,Afya, Masoko, Utoaji wa mikopo ya 10%, Utawala bora na vingine vingi, sambamba na hilo yatupasa kuendelea kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato ikiewemo kubuni vyanzo vipya vya mapato ili mapato yaongezeke mara dufu zaidi.

Aidha Ndg Paulo Mashimo Makanza amemshukuru Mkuu wa Mkoa na wataalam wote pamoja na wakuu wa Idara katika Mkoa huo, amewahakikishia kuchapa kazi kwa kuzingatia weledi na uwajibikaji mahala pa kazi pia kufanya kazi kwa umoja kwa kufuata Sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa Umma.

Katibu Tawala mpya Bwana Paulo Mshimo Makanza akitoa neno baada ya kukabidhiwa ofisi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.


Katibu Tawala mpya amemshukuru Mhe Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa kumteua kuchukua nafasi hiyo ya kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwa heshima hiyo aliyopewa amehaidi kachapa kazi kwa kasi ya  juu ili kuwaletea maendeleo wana Dar es Salaam na Taifa la Tanzania kwa ujumla.

Baadhi ya wataalam ambao ni wakuu wa Idara katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakisikiliza kwa makini wakati wa makabidhiano hayo.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa