• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Rais Samia Atimiza Ahadi kwa Mwenye Ulemavu wa Ngozi

Posted on: June 8th, 2022




RC Makalla wa kwanza  kushoto akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa huo Ndg Hassan Rugwa wakati wa makabidhiano ya fedha kwa Bwana Yassin Said mwenye ulemavu wa ngozi


- Akabidhi kiasi Cha Shilingi Milioni 5,310,000 kwaajili ya kujiimarisha kiuchumi.

Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi ya kumpatia mtaji wa Biashara na fedha za kujikimu Ndg. Yassin Said mwenye Ulemavu wa Ngozi aliemuandikia barua Rais akiomba kuwezeshwa kiuchumi Baada ya kupitia masaibu katika maisha yake.

Akikabidhi fedha hizo kwa niaba ya Rais Samia, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amemsisitiza Kijana Yassin kutumia fedha alizopatiwa kujiimarisha kiuchumi ili lengo la Rais kutoa fedha hizo liweze kutimia.

Kwa upande wake Ndg. Yassin Said amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa msaada aliopatiwa na kuahidi kuzitumia kwa lengo lililokusudiwa

Matangazo

  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 05-09 JANUARI,2026 DAR ES SALAAM. January 13, 2026
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 1-5 DESEMBA 2025 December 01, 2025
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Hundi Bilioni 7.5 Temeke

    January 27, 2026
  • RC Chalamila Aongoza Zoezi la Upandaji Miti Kusherekea Siku ya Kuzaliwa Rais Dkt Samia

    January 27, 2026
  • RC Chalamila "Vimba na IST Februari 14,2026"

    January 20, 2026
  • Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi Kuzindua Jengo la Wageni Mashuhuri JNIA Januari 16,2026

    January 15, 2026
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa