• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Rais Dkt Samia Suluhu Kuzindua Kituo cha Uwekezaji Ubungo - EACLC Aug 1,2025

Posted on: July 30th, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya uzinduzi wa kituo cha Biashara na usafirishaji Afrika Mashariki kilichojengwa eneo la Ubungo Jijini Dar es salaam August mosi mwaka huu ikiwa ni katika mpango wa Serikali ya Tanzania kuimarisha fursa za kibiashara na uwekezaji.

Akizungumza jijini  Dar es salaam katika mkutano na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa huo Mhe Albert Chalamila amewataka wakazi wa Jiji hilo na watanzania kwa ujumla hususani waliokwisha chukua maeneo ya kufanyia biashara na wale wenye nia ya kufanya biashara kwenye kituo hicho kujitokeza kwenye uzinduzi huo ili kujionea uwekezaji uliofanywa na serikali ya awamu ya sita pamoja na kuona fursa za kibiashara zilizopo kwenye kituo hicho.

RC Chalamila amesema kuwa Serikali iliamua kuhamisha kituo cha mabasi ya mikoani na nje ya nchi kilichokuwa eneo la Ubungo na kukihamishia Mbezi ambapo imetumia zaidi ya dola za marekani milioni miamoja kujenga kituo hicho cha biashara na usafirishaji Afrika Mashariki chenye zaidi ya maduka 2000 hivyo kituo hicho kinazinduliwa rasmi Augost Mosi na Rais Dkt Samia ili lengo la ujenzi huo la kuongeza fursa za biashara liweze kutimia.

Sanjari na hayo RC Chalamila amesema kuwa kituo hicho kimejengwa kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania kupitia Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo na muwekezaji kutoka nchini China huku akisisitiza kuwa ushiriki wa wawekezaji kutoka China si kwa lengo la kupoka fursa za wawekezaji wazawa bali ni mfumo wa uwekezaji wenye manufaa makubwa kwa watanzania

Katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amewataka watanzania kutumia fursa ya uwepo wa mashindano ya mpira wa miguu ya CHAN kuweza kufanya biashara kwani Mkoa huo kupitia Idara ya biashara umeandaa maonesho ya wafanyabiashara wadogo na wakubwa kwenye eneo la kuzunguka uwanja wa mpira wa Benjamin Mkapa

Aidha RC Chalamila amewataka watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki uzinduzi wa CHAN August 2 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Mkoa tayari umeshandaa mabasi miamoja kwa kila Wilaya ili kuwezesha watanzania kufika uwanjani,  pia amewataka bodaboda,bajaji na wamiliki wa hoteli waliopo jijini humo kitumia fursa ya ugeni huo kufanya biashara

Ifahamike kuwa uzinduzi wa kituo cha biashara Afrika mashariki pamoja na uwepo wa mashindano ya CHAN na baadae ACFCON ni fursa muhimu za kibiashara kwa watanzania

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 July 17, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA WA DARASA LA SABA MEI, 2025 July 18, 2025
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais Dkt Samia Suluhu Kuzindua Kituo cha Uwekezaji Ubungo - EACLC Aug 1,2025

    July 30, 2025
  • Tanzania Mwenyeji Ufunguzi wa "African Nations Championship" CHAN

    July 21, 2025
  • RC Chalamila Akutana na Meya wa Jiji la Dallas-Marekani

    July 21, 2025
  • RC Chalamila Aelekeza Kuundwa Kamati ya Kutatua Mgogoro wa Ardhi Sahara-Mabibo

    July 19, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa