• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul C. Makonda akikagua ujenzi wa wodi za kisasa za wazazi na watoto

Posted on: May 15th, 2017

Tarehe 12/05/2017 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul C. Makonda alifanya ziara ya kukagua ujenzi wa wodi za kisasa za wazazi na watoto  zinazoendelea kujengwa katika Wilaya tatu za Ilala – Amana Hospitali, Temeke – Temeke Hospitali na Kinondoni – Mwananyamala Hospitali.

Ujenzi huo wa majengo ya ghorofa tatu kwa kila jengo la wodi ya wazazi na watoto katika Wilaya hizo utawawezesha zaidi wakina mama 1350 na watoto wao kupata huduma za malazi wakati wa matibabu.

Wodi hizi zikikamilika zitasaidia kuondoa kero ya mlundikano kwa kina mama wajawazito na watoto wao katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Ujenzi huu ni kwa ufadhili wa wadau wa maendeleo ya Mkoa wa Dar es Salaam.


Matangazo

  • MENENDO WA BEI WIKI YA 09-13 FEBRUARI 2026 DSM February 15, 2026
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 1-5 DESEMBA 2025 December 01, 2025
  • MWENENDO WA BEI YA 02-06 FEBRUARI 2026 DSM February 10, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Amaliza Mgogoro Uliodumu zaidi ya Miaka 15 Kariakoo

    February 17, 2026
  • RC Chalamila Azindua Utoaji Huduma Bure za Kisheria kwa Wananchi

    February 16, 2026
  • Tamasha la IST 2026

    February 14, 2026
  • RC Chalimila Aendelea Kuchanja Mbuga Wilaya ya Kinondoni

    February 12, 2026
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa