• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Mkoa wa Dar es Salaam Wazidi Kujiimarisha Katika Makusanyo ya Kodi

Posted on: May 17th, 2019

Katibu tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Bw. Abubakar Kunenge amesema Mkoa huo umeendelea kuweka mipango madhubuti ya kuhakikisha unaendelea kuongoza kitaifa katika suala zima la ukusanyaji wa mapato pasipo kuwabugudhi wananchi kwa kubuni vyanzo vipya vya mapato.

Akizungumza wakati wa kikao cha kutoa maoni ya mikakati ya kuboresha mapato ya Serikali katika mkoa wa Dar Es Salaam ulioshirikisha wadau mbalimbali ikiwemo Watafiti, Wataalamu na Taasisi mbalimbali, Bw. Kunenge amesema mkoa huo una kila sababu ya kuwa kinara wa ukusanyaji mapato hivyo Serikali ya mkoa itahakikisha wanaendelea kuwa kinara.

Aidha Bw.Kunenge amesema ndani ya Mkoa huo wapo wataalamu, watafiti, vyuo na makampuni ya ushauri ambayo mawazo yao yakitumika vizuri yataweza kusaidia kuongoza mapato.

"Tumeona tunaweza kufanya vizuri hivyo tumetumia nafasi hii kuomba makampuni, watalamu, walimu wafanya biashara na wadau mabalimbali watakao tusaidia kutushauri katika suala zima la ukusanyaji wa mapato na kutoa maoni yao  kutusaidia jinsi ya tuboresha kupata mapato ya Mkoa wa Dar Es Salaam ilikumsaidia Mh Rais Katika kukamiliaha miradi  ya maendeleo" alisema Bw.Kunenge

Kwa upande wake Katibu mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Joseph Simbakaria alisema anatoa pongezi kwa wafanya kazi wa Mkoa wa  Dar es salaam wakiongozwa na Mhe.Paul Makonda kwa kufanya kazi nzuri ya ukusanyaji wa Mapato, na kuona umuhimu wa kukaa na wadau wa biashara kuangalia jinsi gani wanaweza kusaidia mapato ya Mji Mkuu wa Biashara Dar es Salaam.

"Napenda kutoa pongezi kwa wafanya kazi wa mkoa wa  Dar es salaam wakiongozwa na Mhe. Paul Makonda kwa kufanya kazi nzuri ya ukusanyaji wa Mapato, na kuona umuhimu wa kukaa na wadau wa biashara kuangalia jinsi gani wanaweza kusaidia kuongeza mapato ya Mji Mkuu wa Biashara japo Mji Mkuu ni Dodoma ila kibiashara ni Dar es salaam.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa