• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Miradi yenye Thamani ya Tsh 27,470,627,841.62 Yapitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru Temeke

Posted on: May 9th, 2024

Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 Wilaya ya Temeke umekimbizwa umbali wa KM 81.78  Kukagua, kuweka jiwe la msingi, pamoja na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Aidha Mwenge wa Uhuru 2024 umeendelea kutoa elimu kwa wananchi kupitia Ujumbe maalum unaosema "Uhifadhi wa Mazingira na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pia Ujumbe wa kudumu wa Mbio za Mwenge katika mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI, Malaria, Dawa za Kulevya na Rushwa

Vilevile Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Temeke umekagua, umezindua na kuweka jiwe la msingi miradi mbalimbali kama Mradi wa Polyclinic wa vijana kupitia mikopo ya 10% (4% ya vijana), Watoto wenye mahitaji maalum katika shule ya Msingi Jeshi la wokovu Miburani, Barabara ya Mivinjeni Bandari Km 2.1 kiwango cha Zege, Ujenzi wa Bweni, bwalo,jiko, sehemu ya kunawia mikono na upandaji miti katika shule ya Sekondari Kibasila, Ujenzi wa jengo la upasuaji zahanati ya mbande, Mradi wa Kibao Complex, Mradi wa Maji na Ujenzi wa ghorofa 6 Hospitali ya Rangi tatu.

Miradi iliyopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 yote imepitishwa hakuna hata mradi mmoja uliokataliwa

Ifahamike kuwa Mwenge wa Uhuru 2024 unaongozwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Ndg Godfrey Eliakimu Mnzava kwa Mkoa wa Dar es Salaam leo ni siku ya pili katika Wilaya ya Temeke, Mei 10 Mwenge wa Uhuru unaendelea Wilaya ya Kigamboni

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Wananchi Dar Kunufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

    June 14, 2025
  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa