• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 Kupitia Miradi Yenye Thamani ya Zaidi ya Bilioni 479.6 Dar

Posted on: May 7th, 2024

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, leo Mei 7, 2024 amesema Mkoa huo unatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru utakaowasili Mei 08, 2024 mkoani humo, utapitia miradi 39 yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 479.6 huku ukikimbizwa kwa takribani kilomita 427.78.

RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo Mei 07, 2024 Jijini Dar es Salam, alipokuwa akielezea ujio wa mwenge wa Uhuru ukitokea mkoa wa Pwani.

"Mwenge wa Uhuru kesho utakapowasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere Terminal 1, utakapoanza kuzunguuka kwenye Wilaya zote za mkoa huu, Utazindua, Kukagua na kuweka jiwe la msingi kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo" amesema RC Chalamila.

Sanjari na kauli hiyo mkuu wa Mkoa Albert Chalamila ametoa wito kwa Wananchi Dar es Salaam kujitokeza ili kuulaki mwenge wa uhuru kwenye maeneo ambayoutapita ila kukagua miradi na kuzindua.

Mwenge wa Uhuru mwaka huu wa 2024, umebeba kauli mbiu inayolenga kutoa elimu kwa Wananchi kuhusu "Uhifadhi wa mazingira na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa" vilevile ujumbe  wa Kudumu wa Mbio za Mwenge katika mapambano dhidi ya VVU/Ukimwi, Malaria, Dawa za Kulevya, Lishe pamoja na Rushwa

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Wananchi Dar Kunufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

    June 14, 2025
  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa