• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania Kitaifa Kufanyika Uwanja wa Uhuru

Posted on: April 24th, 2024

 

-Tamasha kubwa kufanyika April, 25, 2024 katika viwanja vya Tanganyika Peckers Kinondoni

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April, 24, 2024 akizungumza na vyombo vya habari Ofisini kwake amesema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafikisha miaka 60 ifikapo ijumaa April 26 mwaka huu, sherehe za kuadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanzania kitaifa zinafanyika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Katika sherehe za maadhimisho hayo mgeni rasmi ni Mhe.  Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sherehe hizo pia zitahudhuriwa na Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pamoja na Viongozi mashuhuri kutoka nchi mbalimbali wamealikwa kuhudhuria sherehe hizo muhimu kwa Taifa letu.

Aidha RC Chalamila amesema maadhimisho hayo yatapambwa na Shughuli mbalimbali ikiwemo gwaride la majeshi ya ulinzi na usalama pamoja na burudani kutoka kwa wasanii maarufu hapa nchini.

Vilevile tarehe 25, April 2024 katika viwanja vya Tanganyika Peckers Wilaya ya Kinondoni kutakuwa na Tamasha kubwa la kihistoria kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanzania, mgeni rasmi atakuwa Naibu Waziri Mkuu Mhe Dkt Doto Biteko katika Tamasha hilo kutakuwa na burudani kabambe kutoka kwa wasanii wakubwa nchini akiwemo Zuchu, Diamond, Alikiba, Hamonize na wengine wengi.

Pia Mhe Mkuu wa Mkoa amesema April 25, 2024 kuanzia saa 11 jioni kutakuwa na burudani hadi itakapofika saa 3 usiku washiriki watapata fursa ya  kusikiliza Hotuba ya Kihistoria mubashara kupitia Television, hivyo washiriki watafuatilia hotuba hiyo katika Luninga kubwa zitakazowekwa uwanja wa Tanganyika Peckers.

Mwisho RC Chalamila amewataka viongozi na Wananchi wa Mkoa huo kuhudhuria kwa wingi kuanzia kesho siku ya Tamasha na  April 26, 2024 katika uwanja wa Uhuru kuanzia saa 12 asubuhi

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa