• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

" Kodi Haina Hiari, ni Lazima kwa Kila Mtanzania" -RC Chalamila

Posted on: October 2nd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa wadau wote kuungana  kuhakikisha kila mlipa kodi analipia kodi inayostahili Ili kukuza uchumi wa nchi hususani Mkoa wa Dar es salaam.

RC Chalamila ameyasema haya leo Oktoba 2 ,2024 wakati akifungua Kongamano la Kodi lililofanyika ukumbi wa Julius Nyerere(JNICC) na   kuhudhuriwa na wadau mbalimbali kutoka TRA na OASIS FINANCIAL SERVICES.

RC Chalamila katika kongamano  hilo amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juhudi zake kuhakikisha mapato yanaongezeka Nchini na kuelekezwa katika kuboresha huduma mbalimbali za kijamii kama vile Elimu, Afya, Maji, barabara na nyingine nyingi

Aidha RC Chalamila amepongeza taasisi ya OASIS kwa kuwa daraja Kati ya TRA na wafanyabiashara katika kutoa elimu ya kikodi ili kupunguza migogoro ya kikodi isiyo ya lazima

Sambamba na hilo RC Chalamila amesema kuwepo kwa mtindo wa "Control Number" imesaidia sana hivyo amependekeza wataalamu kuleta teknolojia nyingine iliyo pana zaidi  itakayoweza kusaidia katika upande wa ulipaji Kodi.

Kwa upande Mkurugenzi Mtendaji wa Oasis Group, Bwana Stambuli S. Myovela, alieleza kuwa kongamano hilo limelenga kujadili changamoto zinazoikabili sekta ya kodi na kupata suluhisho endelevu, ambapo amesema  OASIS imejitolea kuunga mkono juhudi za serikali katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato.

Mwisho Mhe. Chalamila alihitimisha kwa kusema, "Kwa dhati kabisa naomba tuendelee kushirikiana na kupeana mawazo kubuni mikakati mipya ili kuhakikisha Tanzania inasonga mbele kwa kiasi kikubwa katika makuzi ya kiuchumi."

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa