• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Kiwanda cha Dabrew Chakabidhiwa Rasmi kwa Serikali ya Mkoa

Posted on: May 2nd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Mei 2, 2024 ameshuhudia makabidhiano ya kiwanda cha Dabrew ambacho kilikuwa kinazalisha pombe aina ya Chibuku kutoka TBL kampuni ambayo ilikuwa inamiliki kiwanda hicho hapo awali.

RC Chalamila akiongea na waandishi wa Habari amesema dhamira ya Mkoa ni kukihuisha kiwanda hicho ili kiwe cha kisasa zaidi, kiweze kuzalisha bidhaa za vinywaji katika ubora wa juu ili kukidhi ushindani wa soko

"Tunafanya hayo kwa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu kututaka kusimamia na kuboresha mazingira ya uwekezaji Katika mikoa " Alisema RC Chalamila

Vilevile kwa upande TBL wamemhakikishia mkuu wa Mkoa kuendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali ya Mkoa hadi hatua ya mwisho ya makabidhiano hayo.

Aidha katika makabidhiano hayo nyaraka mbalimbali zimekabidhiwa ikiwemo cheti cha usajiri wa Kampuni, kadi za magari 17, hati miliki ya kiwanda, mahesabu ya Kampuni pamoja na check list ya vitu vilivyohakikiwa.

Mwisho hafla ya makabidhiano hayo imehusisha wataalam mbalimbali wakiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa Dkt Toba Nguvila, Wakuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ilala Temeke, na Kigamboni pamoja na wakurugenzi pia waheshimiwa Mameya  na wanasheria vilevile wataalam kutoka TBL

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Wananchi Dar Kunufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

    June 14, 2025
  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa