• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Kamati ya Uchunguzi wa Tukio la Moto Mnadani- Kariakoo Yabaini Chanzo

Posted on: October 20th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam *Mhe Albert Chalamila* leo Oktoba 20,2023 ametoa taarifa ya kamati aliyounda kuchunguza tukio la Janga la moto lililotokea eneo la Mnadani Kariakoo mnamo Oktoba 1, 2023

RC Chalamila amesema kamati hiyo imefanya kazi ya Uchunguzi ndani ya siku saba (7) kuanzia Oktoba 07, 2023 na kubaini chanzo cha moto huo sio ajali bali ni HUJUMA ndani ya wafanyabishara wa Mnadani Kariakoo ambapo ameziagiza Mamlaka husika kuwabaini watu hao na kuwachukulia hatua Stahiki za kisheria.

Uchunguzi huo umehusisha ukaguzi wa eneo la tukio, kufanya mahojiano na mashuhuda, wamiliki wa majengo yanayozunguka eneo hilo, wafanyabishara,walinzi wa zamu na picha za kamera zilizorekodi tukio hilo kabla na baada ya tukio la moto huo

Aidha kamati imetoa mapendekezo na ushauri ikiwemo wafanyabishara kutafutiwa eneo mbadala la kuweza kuendesha Shughuli kutokana na aina ya biashara zao kwa kuzingatia maelekezo ya wataalam,pia Halmashauri kusimamia sheria za mipango miji kwa mfano kuacha njia moja kati ya jengo moja na jingine pia waliokua wanaziba njia watambuliwe na kuchukuliwa hatua za kisheria, BRELA  ifanye mapitio ya  Kampuni ya The Kariakoo Auction Mart Co Ltd ili kupata uhalali wa umiliki na namna ya uendeshaji wa Kampuni hiyo.

Hata hivyo kufuatia janga hilo la moto kamati imebaini kusababisha madhara kadhaa ikiwemo kuungua na kuteketea kwa eneo lote la biashara la Mnadani vibanda vya biashara zaidi ya 550 pamoja na mali zikiwemo maduka/ fremu kumi (10) majengo marefu Saba( 7) yaliyozunguka eneo hilo kwa upande wa athari za kibinamu hakukuwa na kifo chochote, bali kulitokea majeruhi ya watu sita (6) kati yao watu wazima watano (5) na mtoto mmoja (1)

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa