• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Dar Yapatiwa Mafunzo ya Kukabiliana na Athari za El-nino

Posted on: September 25th, 2023

Viongozi na Wataalam wa Mkoa wa Dar es Salaam leo Septemba 25, 2023 wameanza mafunzo ya siku mbili ya kujiweka sawa kukabiliana na athari zinazo weza kutokea endapo mvua kubwa za El-Nino zitanyesha siku za hivi karibuni kwa mujibu wa utabiri uliotolewa na Mamlaka ya Hali ya hewa hapa nchini.
Akifungua mafunzo hayo katika Ukumbi wa NSSF Ilala Boma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge Mhe Jenista Muhagama amewataka washiriki wote katika kikao kazi hicho kujadiliana kwa kina namna ya kujipanga na kujiandaa kukabiliana na EL-NINO endapo itatokea, ni lazima kujiratibu na kuwa na vifaa na rasilimali zingine zinazoweza kutumika wakati wa kulikabili janga hilo.
Mhe Waziri  ameutaka Mkoa huo kutumia vyombo vya habari Kutoa elimu kwa Umma dhidi ya tukio hilo, kusafisha mito na kuimarisha Kingo, kuainisha maeneo ambayo mara nyingi yana athari Kipindi cha mvua nyingi, kusimamia matumizi sahihi ya mitaro na mifereji ya maji taka pia kujipanga kuzuia athari na kutengeneza mipango ya kuzuia madhara pamoja na kushirikisha jamii katika ulinzi wa mito  isiharibiwe.
Aidha kwa Upande wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amesema Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hataki kuona wananchi wanapata athari za EL-NINO  ndio maana ametoa maelekezo mahususi ya kujiandaa, kujipanga au kuweka mikakati ya kuzuia athari zinazoweka kutokea endapo mvua hizo zitanyesha.
Mkoa wa Dar es Salaam tayari umeshaanza kufanya maandalizi ya kukabiliana na EL-NINO ambapo tayari umeshaainisha maeneo hatarishi na kuanza kusafisha mito kwa mfano mto msimbazi vilevile kazi inaelea kusafisha mitaro na mifereji pia kuendelea kutoa elimu kwa Umma" Alisema RC Chalamila

Mwisho Mhe Waziri Jenista Mhagama baada ya kufungua mafunzo hayo yaliyohudhuriwa na Kamati ya usalama ya Mkoa, Waheshimiwa Wabunge, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala wa Wilaya, waratibu wa Maafa kutoka Wilaya zote, Sekretarieti ya Mkoa, wataalam kutoka TARURA, TANROAD na wadau wengine, amefanya ziara kujionea uhalisia katika maeneo ambayo yanaweza kuwa na athari kubwa ikiwemo Jangwani, Mto Msimbazi, Mto Mg'ombe, na Mto mpigi unaotenganisha Mkoa wa Pwani na Dar es Salaam

 

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa