• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Dar Kunufaika na Mradi wa Gesi Asilia

Posted on: November 1st, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Novemba 1,2023 amekutana na timu ya wataalam kutoka Wizara ya Nishati ambao waliambatana na Wataalam wa gesi Asilia kutoka JICA ambapo wamefanya majadiliano ya kujenga uwezo kuhusiana na matumizi ya gesi Asilia.

RC Chalamila amesema Mkoa wa Dar es Salaam umepata bahati ya kuwa moja ya mikoa kati ya mitatu ambayo mradi huo kabambe utatekelezwa na sababu kubwa ya zilizoangaliwa ni pamoja na idadi kubwa ya watu, viwanda vingi, Taasisi nyingi ambazo zina mahitaji makubwa ya Nishati

Aidha RC Chalamila amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na mabadiliko ya tabia ya nchi yenye kuleta athari mbalimbali ikiwemo mvua za El-Nino, kwa mantiki hiyo jambo ambalo linafanyika ni kuzuia ukataji wa miti na uoto mwingine wa asili ili kuruhusu matumizi ya gesi Asilia kutumika kama chanzo cha Nishati katika mapishi na mambo mengine.

Vilevile Dar es Salaam pekee hasa kipindi hiki cha ukame hutumia hadi megawati 516 katika mitambo ikiwemo AC, tatizo la kukatika kwa umeme limekuwa likiathiri Shughuli nyingi za maendeleo hivyo Nishati ya gesi Asilia ni mbadala kwa Mkoa na Taifa kwa ujumla.

Kwa upande wa Mkurugenzi wa mradi Mhandisi Joyce kisamo alisema kwa kutumia wataalam kutoka Tanzania,wizara ya Nishati, TPDC na EWURA kwa msaada wa JICA (Japan) wamesanifu, kujenga uwezo na kutumia gesi Asilia katika miji  ambayo ni Dar es Salaam, Pwani na Dodoma hiyo mikoa ambayo mradi utaanza kutekelezwa na Mikoa mingine itafuata.

Ifahamike kuwa mradi huu ni wa miaka miwili lakini awamu ya kwanza kutakuwa na mpango kabambe wa matumizi ya gesi Asilia nchini Tanzania ambapo mpango huu hutegemewa kuanza mwezi Juni 2024


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa