• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

DAR-Kufanya Kongamano Maalum Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani

Posted on: March 3rd, 2025

Katika kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, Mkoani Dar es salaam inatarajia kufanya kongamano maalum machi nne mwaka huu katika ukumbi wa Ubungo Plaza lengo likiwa ni kuikumbusha jamii kutambua na kuthamini nafasi ya mwanamke sanjari na kuhamasisha usawa

Akizungumza leo Machi 3,2025 Jijini Dar es salaam na waandishi wa habari Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amesema maadhimisho ya mwaka huu yanakwenda sanjari miaka 30 ya utekelezaji wa ulingo wa Beijinn katika kuhamasisha usawa hivyo amewataka wanawake kujitokeza kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuhamasisha usawa

RC Chalamila amesema kuwa wakati maadhimisho ya kitaifa yakiwa yanatarajia kufanyika machi nane Mkoani Arusha, ambapo  Mkoani Dar es salaam maadhimisho hayo yatafanyika kwenye viwanja vya Leaders Club na zaidi ya mitungi elfu moja ya Gesi itagawanywa bure kwa wanawake ikiwa ni katika kuunga mkono juhudi za Rais Dokta Samia kuhamasisha matumizi ya Nishati safi ya kupikia na kulinda afya za wanawake

Aidha RC Chalamila amesema kuwa serikali  inatambua nafasi ya mwanamke na imetenga maeneo maalum kwa wanawake kufanya biashara za vyakula kipindi cha mfungo hivyo amewataka wanawake kutumia fursa hiyo pamoja na fursa zingine zilizopo kwenye biashara saa 24

Hata hivyo RC Chalamila amewataka wanawake kutumia fursa za mikopo ya Halmashauri kupitia Benki mbalimbali na kusisitiza kuwa katika kutambua nafasi ya mwanamke serikali nchini Tanzania imewatengea wanawake mikopo maalum ambayo ni asilimia nne kutoka kwenye Halmashauri zote nchini

Maadhimosho ya kitaifa ya siku ya wanawake hapa nchini yanatarajia kufanyika machi nane mwaka huu Mkoani Arusha ambapo Rais Dkt Samia anatarajia kuwa mgeni rasmi.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa