• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Dar es Salaam yang'ara Mwenge wa Uhuru 2023

Posted on: May 28th, 2023

- Miradi yote 32 katika Wilaya 5 za Mkoa huo yapitishwa hakuna mradi uliokataliwa

Mwenge wa Uhuru 2023 Mkoa wa Dar es Salaam ukiongozwa na Ndg Abdallah Shaib Kaim kutoka Mkoa wa kaskazini pemba (Kiongozi) umekimbizwa katika umbali wa KM 499.9 kwa kupitia miradi 32 kwa mchanganuo wa *Wilaya ya Temeke miradi 6, Kigamboni miradi 6, Ilala miradi 6, Ubungo miradi 7 na Kinondoni miradi 7 yote ikiwa na thamani ya Tsh 93,457,467,363.83/=

Aidha Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa pamoja wameungana na Watanzania wote katika kupokea ujumbe wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 unaosisitiza umuhimu wa kuhifadhi mazingira, Vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe hai, na Uchumi wa Taifa chini ya kauli mbiu isemayo " Tunza Mazingira, Okoa Vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe hai na Uchumi wa Taifa "

Vilevile Mwenge wa Uhuru umehamasisha wananchi kuendeleza Mapambano dhidi VVU/ UKIMWI, Malaria, Dawa za kulevya, Lishe na Rushwa

Sambamba na hilo Mwenge wa Uhuru 2023 kila ulipo pita umehamasisha shughuli mbalimbali za maendeleo, Upendo, Amani, Mshikamano na uzalendo kwa Wananchi

Ifahamike kuwa Mwenge huo katika Mkoa wa Dar es Salaam  ulipokelewa ukitokea Mkoa wa Pwani Mei 24, 2023  umekimbizwa katika Wilaya zote 5 za Mkoa hadi Mei 28,2023 ambapo unatarajiwa Kukabidhiwa Mei 29, 2023 Kusini Magharibi- Zanzibar na Mkuu wa Mkoa Mhe Albert J Chalamila

Matangazo

  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 15-19 DESMBA 2025 DSM December 15, 2025
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 1-5 DESEMBA 2025 December 01, 2025
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ashiriki Ibada ya Sikukuu ya Christmas Usharika wa KKKT Kimara Korogwe

    December 25, 2025
  • Ziara ya Naibu Waziri OWM-TAMISEMI MHE Reuben Kwagilwa Dar

    December 22, 2025
  • RC Chalamila Vyombo vya Habari ni Muhimili Muhimu kwa Taifa

    December 05, 2025
  • RC Chalamila Azindua Wodi ya Watoto Wachanga Hospitali ya Amana

    December 03, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa