• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Dar es salaam ni Salama Sana,Kila Mmoja Aendelee Kudumisha Amani Msimu huu wa Sikukuu

Posted on: December 24th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Disemba 24,2023 ametoa Salamu za Sikukuu ya Christmas na mwaka mpya 2024 kwa wakazi wa Mkoa huo na Watanzania kwa ujumla kupitia vyombo vya habari Ofisini kwake Ilala Boma.

Akitoa Salamu hizo RC Chalamila amesema Dar es Salaam ni salama sana, ambapo ametoa rai ya kuendelea kudumisha amani katika msimu huu wa sikukuu, " Tumeimarisha Utambuzi, DSM ni shwari ulinzi na usalama umeimarishwa" Alisema RC Chalamila.

Vilevile RC Chalamila ameendelea kusistiza umuhimu wa usafi katika mazingira yetu ili kupambana na magonjwa ya milipuko hususani kipindupindu, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha, Serikali ya mkoa imeshajipanga kuanza kunyunyiza dawa ili kuua mazalia ya mbu lakini pia kuanza kurekebisha barabara na vivuko vilivyo halibiwa na mvua

Aidha Mhe Mkuu wa Mkoa amesema hakuna mtoto atakaye shindwa kwenda Shule mazingira yote yako vizuri  ikiwemo vyumba vya madarasa na madawati hivyo tuendelee kuhimiza Wazazi  kupeleka watoto Shule

Mwisho RC Chalamila amewatakia wakazi wa DSM na Watanzania heri ya Sikukuu na mwaka mpya 2023 na Disemba 30 ,2023 anatarajia kuwa na Mkutano Mkubwa na Waandishi wa Habari ampapo amesma wata muda mzuri wa kuzungumza mengi

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa