• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

DAR ES SALAAM NA PWANI WAPATIWA MAFUNZO YA UCHAGUZI

Posted on: July 29th, 2020

Kufuatia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 28/10/2020 wa kuchagua Madiwani, Wabunge na  Rais , Tume ya Taifa ya Uchaguzi imefungua rasmi mafunzo ya siku tatu (3) kwa wasimamizi ya Uchaguzi kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, mafunzo ambayo yamefanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakila kiapo wakati wa ufunguzi wa semina hiyo katika ukumbi wa chuo cha utalii Jijini Dar es Salaam


Akifungua mafunzo hayo kamishina wa Tume ya Uchaguzi Bi Asina Omary amesema mafunzo hayo yamelenga hasa  kuelekezana, kujadili, na kubadilishana uzoefu wa namna bora ya kufanikisha shughuli hiyo kubwa ya kitaifa kwa kufuata sheria,kanuni,na taratibu za uchaguzi kwa kuwa ni takwa la kikatiba.

Aidha kamishina wa Tume ya Uchaguzi amewataka washiriki wote wa mafunzo kuhakikisha wanakuwa wasikivu waepuke kufanya kazi kwa mazoea, kikubwa zaidi wazingatie maadili ya uchaguzi, sheria,kanuni na taratika za kikatiba zinaongoza uchaguzi mkuu.

Ni muhimu pia kwa kila msimamizi wa uchaguzi kutambua maeneo yake ya kufanyia kazi ikiwemo miundombinu ya kufika katika kata na vituo vya kufanyia uchaguzi sambamba na maeneo ya kufanyia mafunzo ya uchaguzi.

Lakini pia ametoa rai kwa waratibu na wasimamizi wa uchaguzi kuhakikisha yafuatayo hayatokei katika kipindi cha zoezi hilo la uchaguzi kama vile kuweka meza,viti nk katika kituo cha uchaguzi siku ya uchaguzi asubuhi, kuchelewa kufungua vituo vya uchaguzi ikimaanisha kufungua kituo muda tofauti na uliowekwa na Tume.

Lakini pia kuhakikisha katika kila kituo watendaji wanavifaa vyote vinavyohitajika katika shughuli nzima ya uchaguzi, aidha watendaji watakaoshughulika na kazi hiyo wawe ni watu wenye weledi,kujiamini na uwajibikaji ili kuwezesha zoezi hilo kufanyika kwa mafanikio makubwa.

Aidha mafunzo ya watendaji katika vituo vya uchaguzi yafanyike kwa ufanisi mkubwa ukizingatia wao ndio watakaotekeleza zoezi hilo na kuwezesha kufanikisha kwa uchaguzi pasipo malalamiko sambamba na kufuata utaratibu wa kuweka mawakala wa vyama vya siasa .

Mwisho  kamishina wa uchaguzi amehimiza umuhimu wa kuwa na maghala yenye ulinzi wa kutosha tayari kwa kupokea vifaa vya uchaguzi, na kwa kila mtendaji katika zoezi hilo anapaswa kujiamini,kujitambua na kuzingatia misingi ya kikatiba,sheria, na taratibu za uchaguzi mkuu.


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa