• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Bi Beng'i Issa Majukwaa ya Wanawake Kiuchumi Yatumike Kuwajengea Uwezo

Posted on: September 26th, 2022

 

- Asema Waratibu wa majukwaa wawe chachu ya kuibua vitu tofauti vya kujifunza

- Awataka  wananawake katika majukwaa kujikita katika Uzalishaji kwa kuwa hukuza Uchumi

-Asisitiza  DSM ni Jiji la Kibiashara ataka majukwaa yawe ya mfano wengine waje kujifunza

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bi Beng'i Issa ameyasema hayo wakati akifunga mafunzo ya ushirika wa viwanda kwa viongozi wa Jukwaa la kuwezesha wanawake kiuchumi Mkoa wa Dar es Salaam mafunzo ambayo yamefanyika katika Ukumbi wa Tirdo Wilaya ya Kinondoni- Dar es Salaam.

Katibu Mtendaji wa NEEC   amesema majukwaa hutoa fursa kwa wanawake kukutana na kujadili masuala ya Biashara na Uchumi hivyo Waratibu wa majukwaa hayo wanatakiwa kuwa wabunifu na kuibua vitu tofauti vya kujifunza itasaidia kuwajengea uwezo ambao utaleta tija kwa mfano Mafunzo ya leo tayari wanawake wameelewa dhana ya madirisha na namna inavyoweza kuwasaidia kujikwamua Kiuchumi.

Aidha Bi Beng'i Issa amewataka wanawake katika Majukwaa kujikita katika Uzalishaji huku akiwahakikishia ukizalisha katika viwango masoko sio tatizo, lakini ni vizuri kazi hizo zikafanywa kwa kushirikiana, ushirika ndio unaweza kuwainua kinachotakiwa ni kuwa na namna bora ya ushirikiano.

Hata hivyo amepongeza namna Mkoa wa Dar es Salaam unavyofanya ubunifu katika kuendesha Jukwaa la Kuwezesha Wananchi Kiuchumi amewataka kuwa wabunifu zaidi, Dar es Salaam ndio jiji la Kibiashara kuna fursa kubwa ya kufanya vizuri na mikoa mingine ya Tanzania ije kujifunza.

Bi Beng'i Issa ametoa rai hususani kwenye Suala la Mitaji ni vizuri kuwa na utaratibu wa kuweka kumbukumbu za biashara ili taasisi za fedha ziweze kuwakopesha

Kwa Upande wa Mratibu wa Jukwaa la kuwezesha Wananchi Kiuchumi Mkoa wa Dar es Salaam Bi Zubeda Masoud amesema Jukwaa hilo liko imara toka kuanzishwa kwake limeendelea kuimarika ni imani yake kuwa litakuwa la mfano Mikoa mingine waje kujifunza katika Jukwaa hilo.

Afisa Masoko na Uhusiano UTT, Bwana Waziri Ramadhani akitoa darasa kwa wanawake viongozi wa Jukwaa la kuwezesha Wanawake kiuchumi Mkoa wa Dar es Salaam katika ukumbi wa Tirdo Msasani- Kinondoni


Mratibu wa Jukwaa la Kuwezesha Wananchi Kiuchumi Mkoa wa Dar es Salaam Bi Zubeda Masoud aliyesimama akiongea wakati wa mafunzo hayo.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa