Wizara ya Madini imeandaa Mkutano wa Mwaka wa Sekta ya Madini utakaohusisha wachimbaji wadogo wa madini ,Wafanyabiashara wa Madini, Mamlaka za Serikali na Taasisi zake zinazojihusisha na Sekta ya Madini.
Mkutano huo utafanyika tarehe 22 Januari, 2019 Jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre kuanzia saa 2 ; 00 asubuhi.
Rasmi kwenye Mkutano huo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Joseph Magufuli
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa