Kupata Huduma kwa Watumishi wa Umma inapatikana katika WATUMISHI PORTAL ambapo mtumishi ataweza kuingia na kupata taarifa zake baada ya yeye mwenyewe kuwa na Email Adress ambayo iko Active,Password na Check namba hivyo itamuwezesha kuelewa taarifa zake kwa urahisi na uhakika zaidi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa