Saturday 21st, December 2024
@Dar es Salaam
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA IKISHIRIKIANA NA MRADI WA HPSS – Tuimarishe Afya INAWAALIKA WADAU WOTE KATIKA UZINDUZI WA MFUMO JAZIA (PVS) UTAKAOFANYIKA SIKU YA TAREHE 9/10/2018 KUANZIA SAA 5 ASUBUHI KATIKA UKUMBI WA ANATOUGLO JIJINI DAR ES SALAAM. MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI HUO ATAKUWA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS – TAMISEMI MHESHIMIWA SELEMANI JAFO.
MFUMO JAZIA (PVS) UNACHANGIA KUBORESHA UPATIKANAJI WA DAWA NA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA HUDUMA YA AFYA NCHINI.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa