• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Ilala MC
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

USHIRIKA WAMPATIA RC MAKONDA TANI 120 ZA SARUJI KWA AJILI YA UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR

Posted on: March 15th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amepokea Tani 120 za Saruji ambazo ni sawa na Mifuko 2,400 ya saruji kutoka kwa Vyama vya Ushirika 27 vya Mkoa huo vilivyoguswa na kampeni ya Ujenzi wa Ofisi 402 za Walimu Dar es salaam.

Mifuko hiyo 2,400 ina uwezo wa kufyatua Tofali 70,000 ambazo zitejenga ofisi 14 za kisasa kwa ajili ya Walimu.

Akipokea mifuko hiyo RC Makonda amesema shughuli ya ujenzi wa ofisi za walimu inaendelea vizuri  ambapo amewashukuru wadau wote wanaoendelea kuchangia kampeni hiyo inayolenga kuboresha mazingira ya kazi kwa walimu ili waweze kutoa elimu bora kwa wanafunzi na mwisho wa siku tuwe na wataalamu wa kutosha.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Jukwaa la Ushirika Dar es salaam Bwana Tumaini Wilfred amesema wameguswa sana na jitiada zinazofanywa na RC Makonda kwenye kuboresha mazingira ya walimu ndio maana wameona na wao Kama ushirika wasibaki nyuma katika  jambo hilo jema linalolenga kuleta ukombozi wa fikra.

Aidha Bwana Tumaini amesema Ushirika utaendelea kuunga mkono kwa kila hali juhudi zinazifanywa na RC Makonda.

KWA PAMOJA TUBORESHE MAZINGIRA YA ELIMU DAR ES SALAAM.

Matangazo

  • Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwa kuanzia tarehe 29 - 02/2018 katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kutatolewa msaada wa kisheria kwa wote waliodhulumiwa mali zao. January 22, 2018
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2018 Shule za Sekondari za Serikali December 08, 2017
  • Matibabu na Vipimo Bure kwa Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuanzia tarehe 19- 25/11/2017 November 15, 2017
  • Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia wananchi wenye Matatizo ya macho kufika kwenye kambi ya macho iliyopo Mtaa wa Hindragand Posta kila Jumamosi na Jumapili kwa kipindi cha Miezi Miwili kupatiwa vipimo,matibabu na miwani bure. October 05, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makonda azindua Zoezi la Utoaji Chanjo ya Kuzuia Saratani ya Mlango wa Kizazi Dar

    April 23, 2018
  • Wanaume Waliokaidi Wito wa RC Makonda Kukamatwa Jumatatu

    April 20, 2018
  • Hospitali ya Mama na Mtoto Chanika iliyojengwa kwa jitihada za RC Makonda yazinduliwa Rasmi

    April 19, 2018
  • RC Makonda kutoa kadi za Bima ya Afya kwa watoto waliotelekezwa

    April 11, 2018
  • Tazama zote

Video

Dar es Salaam Auto Mobile Zone
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa