• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aendelea na Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Katika Jiji la Dar es Salaam

Posted on: August 18th, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Abubakar Kunenge ameendelea na ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Jiji la Dar es Salaam ambapo leo ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Daraja uliopo Ilala  na ujenzi wa Barabara iliyopo katika Wilaya ya Temeke.

Awali RC Kunenge akiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala  Mhe. Ng’wilabuzu Ndwata Ludigija walitembelea katika Daraja la Kivule linalojengwa na Mkandarasi wa Kampuni ya Nyanza ambapo amemtaka mkandarasi huyo kukamilisha ujenzi wa daraja hilo ifikapo Septemba 30 ili kupunguza kero ya usafiri kwa wananchi wa eneo hilo.

Ameeleza kuwa kukamilika kwa Daraja na Barabara hiyo ni muhimu sana kwani barabara hiyo inakwenda mpaka katika Hospitali ya Wilaya ya Ilala.

Baada ya kutoka katika Wilaya ya Ilala msafara wa Mhe. Mkuu wa Mkoa ulielekea katika Wilaya ya Temeke ambapo ulielekea katika Barabara ya Mbosi kujionea ujenzi wa barabara hiyo unavyoendelea.

Baada ya ukaguzi wa barabara hiyo na kupokea taarifa kutoka kwa Mkandarasi wa barabara hiyo Mhe. Mkuu wa Mkoa aliagiza barabara hiyo kukamilika ndani ya mwezi mmoja na kumtaka Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke kutoa fedha za kumalizia ujenzi wa barabara hiyo ili ikamilike kwa wakati.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa