JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
TEKNOHAMA
 
Teknohama [ Nyumbani ]
 
 
 
 
 
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKNOHAMA) ni nyenzo muhimu, ambayo mchango wake ni mkubwa katika kuharakisha kufikiwa kwa Malengo ya Milenia ifikapo mwaka 2025

 

 

Kukua kwa teknolojia katika Mkoa wa Dar es Salaam , kuna mchango muhimu katika kuhakikisha kuwa wananchi wanapata taarifa kuhusu shughuli mbalimbali za utawala, sera na mipango kwa wakati mwafaka, hivyo kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika maamuzi yanayoathiri maisha yao .

TEHAMA inatumika kila mahali na katika utoaji wa huduma za aina yeyote ile ikiwemo Elimu ( Distant Learning, eLibrary), matibabu (Telemedine), biashara (eCommerce, eBanking, nk),Ukusanyaji wa mapato, uongozi/utawala (eGovernace) n.k.
 
Kutokana na kuingia kwa utandawazi, dunia sasa imekuwa kama kijiji kimoja tena kidogo sana , kwani mawasiliano yamekuwa yakiboreshwa siku hadi siku na kuwa rahisi.
 
   
Mifumo(MIS) mbalimbali katika Mkoa:
 
 
IFMIS- Epicor
 
SBAS
 
LGMD
 
PlanRep
 
HCMIS-LAWSON
 
 
 
 
 
 
 
       
       
       
       
 
         
 
Teknohama [ Nyumbani ]   Rudi juu
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203213